Unaishi nyumba ya kupanga unaruhusu mkeo avae hivi?

Wewe rudi om kwa kustukiza mara moja moja, utakuja hapa kuadithia tofauti. Sio eti kwamba huyo mke wako ama mke wangu ni malaika, hata uongee vp mzee ni siku mbili tatu atatupia tu, visababu kibaaao.
Chamsingi kula sehemu yako, tulia, linda Moyo wako, ili Mungu akuachia zawadi ya uhai uishi maisha marefu ujionee na uzidi kujionea mengi.
 
Wewe ndio unampangia mke wako mavazi ? Ulivyokutana nae au kabla ya kuona kwamba anafaa au hafai alikuwa anavaaje ?

Nadhani hapo tatizo litakuwa kubwa zaidi ya hizo symptoms; kwamba una jukumu la kupanga wardrobe pia
 
Ukiwa na lengo la kumtafuna mke wa mtu hata akivaa juba na nikabu bado unaweza kumtongoza .

Mke wa jamaa nilipowahi kupanga alikuwa anaanika chupi zake zote kwenye kamba nje. Ofcozi changamoto lakini ukiwa na lengo hakuna wakukuzuia
 
Shida ni umaskini wako niga diamond kazingua sana ila kwenye neno Fanya kazi namuunga mkono


Deal of million dollars, kwishaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…