Unaishi nyumba ya kupanga unaruhusu mkeo avae hivi?

Ukiwa na lengo la kumtafuna mke wa mtu hata akivaa juba na nikabu bado unaweza kumtongoza .

Mke wa jamaa nilipowahi kupanga alikuwa anaanika chupi zake zote kwenye kamba nje. Ofcozi changamoto lakini ukiwa na lengo hakuna wakukuzuia
Hivi kuanika chupi nje ni changamoto? Labda uzee utakuwa umeshika hatamu kwangu naona kawaida tu
 
Wewe unayeona kawaida ni jinsia gani? Unaweza kuwa ni mwanamke ,kama ni mwanamke hatuwezi kuelewana. Mwanaume hata ukienda beach ukiwakuta wadada na wamevaa chupi inaleta shida kwa mara ya kwanza
 
Wewe rudi om kwa kustukiza mara moja moja, utakuja hapa kuadithia tofauti. Sio eti kwamba huyo mke wako ama mke wangu ni malaika, hata uongee vp mzee ni siku mbili tatu atatupia tu, visababu kibaaao.
Chamsingi kula sehemu yako, tulia, linda Moyo wako, ili Mungu akuachia zawadi ya uhai uishi maisha marefu ujionee na uzidi kujionea mengi.
Huu ni ukomavu wa akili wa juu kabisa kwa mwanaume
Usihangaike na wanawake linda nafasi yako na ongeza bidii kutafuta hela usije kufa haraka
Usicheze na kiumbe mwanamke zaidi ukipata muda nenda mahakamani usikilize mashairi ya ndoa au kwenye mtandao "court witness"
 
Si kazi yako kumlinda mwanamke aliye mke wako. Ikiwa anahitaji usimamizi wako basi ujue huyo amekengeuka
 
Nilidhani jezi mpya za Utopolo kwani ndio zinaandikwa mipasho.
 
Wewe unayeona kawaida ni jinsia gani? Unaweza kuwa ni mwanamke ,kama ni mwanamke hatuwezi kuelewana. Mwanaume hata ukienda beach ukiwakuta wadada na wamevaa chupi inaleta shida kwa mara ya kwanza
Hapa umechanganya mambo. Soma elewa then comment. Kuna kuzikuta chupi zimeanikwa ikaleta shida kwa mwanaume na kukuta wanawake wako na chupi tu ikaleta shida kwa wanaume. Hili la pili sijalizungimzia mimi. Swali ni kukuta chupi zineanikwa kuna shida gani kwa mwanaume? Kwamba ukiona chupi imeanikwa unasimamisha?
 
Asante kwa swali Zuri na niombe radio kama sikukujibu kiungwana.

Jibi ni la swali lako kuwa ukikuta chupi kama uume unasimama ni hspana bali ukiiona chupi ya mwanamke kaanika na huyo mwanamke unamjuu kuna hisia za kumtamani huyo mwanamke ili siku umuone nayo kitandani umle , ndio maana chupi za dukani haziamshi hisia bali za mtu unayemjua.

Hata nyumbani wakati tunakuwa hatukuwa tunaziona chupi za dada zetu kwenye kamba. Zilianikwa ndani ya nguo nyingine.

Chupi inaleta imagination
 
Au unatamani kunusa kabisa kama mbuzi. Kiuhalisia kuanika chupi hovyo si ustaarabu sana ila siku imekuwa kawaida zinaanikwa tu. Na haishtui tena kama zamani.

Nakumbuka mwenzi wa kwanza kuripoti chuo muda wote mwili ulikuwa unachemka kwa kuwa nilikutana na uvaaji nisiouzoea. Lakini ilifikia kipindi mambo yakawa ya kawaida.
 
Back
Top Bottom