Hivi kuanika chupi nje ni changamoto? Labda uzee utakuwa umeshika hatamu kwangu naona kawaida tuUkiwa na lengo la kumtafuna mke wa mtu hata akivaa juba na nikabu bado unaweza kumtongoza .
Mke wa jamaa nilipowahi kupanga alikuwa anaanika chupi zake zote kwenye kamba nje. Ofcozi changamoto lakini ukiwa na lengo hakuna wakukuzuia
Tena mkiwa hamjavaa kyupi yoyote ndaniHuku kwetu tunatembea hivo tunaenda market au dukani
Tatizo liko wapo? Waafrika na ngono mmelogwa. Primitive mind!Unaishi nyumba ya kupanga Halafu unaruhusu mkeo kuvaa hivi... Unakuwa na maana gani?
View attachment 3465426
Wewe unayeona kawaida ni jinsia gani? Unaweza kuwa ni mwanamke ,kama ni mwanamke hatuwezi kuelewana. Mwanaume hata ukienda beach ukiwakuta wadada na wamevaa chupi inaleta shida kwa mara ya kwanzaHivi kuanika chupi nje ni changamoto? Labda uzee utakuwa umeshika hatamu kwangu naona kawaida tu
Waafrika wanajua mambo matatuHivi kuanika chupi nje ni changamoto? Labda uzee utakuwa umeshika hatamu kwangu naona kawaida tu
Huu ni ukomavu wa akili wa juu kabisa kwa mwanaumeWewe rudi om kwa kustukiza mara moja moja, utakuja hapa kuadithia tofauti. Sio eti kwamba huyo mke wako ama mke wangu ni malaika, hata uongee vp mzee ni siku mbili tatu atatupia tu, visababu kibaaao.
Chamsingi kula sehemu yako, tulia, linda Moyo wako, ili Mungu akuachia zawadi ya uhai uishi maisha marefu ujionee na uzidi kujionea mengi.
Hapa umechanganya mambo. Soma elewa then comment. Kuna kuzikuta chupi zimeanikwa ikaleta shida kwa mwanaume na kukuta wanawake wako na chupi tu ikaleta shida kwa wanaume. Hili la pili sijalizungimzia mimi. Swali ni kukuta chupi zineanikwa kuna shida gani kwa mwanaume? Kwamba ukiona chupi imeanikwa unasimamisha?Wewe unayeona kawaida ni jinsia gani? Unaweza kuwa ni mwanamke ,kama ni mwanamke hatuwezi kuelewana. Mwanaume hata ukienda beach ukiwakuta wadada na wamevaa chupi inaleta shida kwa mara ya kwanza
Asante kwa swali Zuri na niombe radio kama sikukujibu kiungwana.Hapa umechanganya mambo. Soma elewa then comment. Kuna kuzikuta chupi zimeanikwa ikaleta shida kwa mwanaume na kukuta wanawake wako na chupi tu ikaleta shida kwa wanaume. Hili la pili sijalizungimzia mimi. Swali ni kukuta chupi zineanikwa kuna shida gani kwa mwanaume? Kwamba ukiona chupi imeanikwa unasimamisha?
Asante kwa swali Zuri na niombe radio kama sikukujibu kiungwana.
Jibi ni la swali lako kuwa ukikuta chupi kama uume unasimama ni hspana bali ukiiona chupi ya mwanamke kaanika na huyo mwanamke unamjuu kuna hisia za kumtamani huyo mwanamke ili siku umuone nayo kitandani umle , ndio maana chupi za dukani haziamshi hisia bali za mtu unayemjua.
Hata nyumbani wakati tunakuwa hatukuwa tunaziona chupi za dada zetu kwenye kamba. Zilianikwa ndani ya nguo nyingine.
Chupi inaleta imagination