Unaishije na mwenza mwenye tabia ngumu?

Miss_Mariaah

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2022
Posts
2,326
Reaction score
5,374
Hello wakuuu

Tupeane mbinu mnaishije na mwenza au mpenzi mwenye tabia ngumu ambapo unakuta io tabia inakukera au zinakukera sana na umejaribu kuongea nae mara kwa mara lakini haachi,,,na unakuta unampenda ila hiyo tabia ndo inakukwaza sana
 
Japo hujasema ni tabia Gani hizo ngumu?
Kwenye social work Kuna theory inaitwa social learning theory (tupo tulivyo Sasa kutokana na waliotuzunguka utotoni/kwenye makuzi yetu)
Kila tabia ya binadamu Ina sababu
Je umechunguza sababu nn? Au utakimbilia tu kuomba Talaka na kurudi kwenu?
 
Mmekutana ukubwani with different background mnaoana,lazima kuwe na tofauti,

Life is very short,kama huwezi kuvumilia achana nae ila kumbuka kila binadamu ana mapungufu yake,hata wewe huenda kuna vitu unamkera ila ameamua kunyamaza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…