Unaitafuta Riwaya yoyote ya Legendari wa Kiswahili? Usijali...

Unaitafuta Riwaya yoyote ya Legendari wa Kiswahili? Usijali...

JAMII BORA

Member
Joined
Apr 18, 2017
Posts
78
Reaction score
58
Tunu zetu Library tumekuwa kwa muda mrefu tukizienzi na kuboresha kazi za wakongwe wa fasihi ya kiswahili kwa manufaa ya kizazi kijacho. Baaada ya kuona maktaba nyingi hazina vitabu hivi, Tumeingia chimbo kuvisaka, kuvipitia na kuviweka mfumo wa nakala rahisi (softcopy) unayoweza kuipata kwa whatsapp au email.

Haikuwa kazi rahisi; hivyo utachangia gharama kidogo, isiyozidi elf tano kwa seti ya vitabu vinne. Piga 0713039875 kuwahi kuweka oda. Baadhi ya kazi zilizokuwa tayari ni hizi hapa chini.

WhatsApp Image 2020-07-13 at 18.27.20 (2).jpeg
WhatsApp Image 2020-07-13 at 17.37.33.jpeg
WhatsApp Image 2020-07-13 at 16.58.54.jpeg
 
Unayo ile Riwaya ya "mchimba vyoo na hazina ya Malkia" ?
 
Hapa ndio penyewe
Niambieni kama mpo na

1. laana ya pandu
2. Duniani kuna watu
3. Mzimu wa watu wa kale
Vingine nimeviona hapo
 
Back
Top Bottom