Unaitafuta Riwaya yoyote ya Legendari wa Kiswahili? Usijali...

Tunu zetu Library tumekuwa kwa muda mrefu tukizienzi na kuboresha kazi za wakongwe wa fasihi ya kiswahili kwa manufaa ya kizazi kijacho. Baaada ya kuona maktaba nyingi hazina vitabu hivi, Tumeingia chimbo kuvisaka, kuvipitia na kuviweka mfumo wa nakala rahisi (softcopy) unayoweza kuipata kwa whatsapp au email.

Haikuwa kazi rahisi; hivyo utachangia gharama kidogo, isiyozidi elf tano kwa seti ya vitabu vinne. Piga 0713039875 kuwahi kuweka oda. Baadhi ya kazi zilizokuwa tayari ni hizi hapa chini.

View attachment 1506265View attachment 1506267View attachment 1506268
Una kitabu cha SIKUNYONGWA, Ndani yumo KABWE MAKANIKA, Mzee Hegal Kaarl Uroose, Bi. Halima na wengineo?
 
Tunu zetu Library tumekuwa kwa muda mrefu tukizienzi na kuboresha kazi za wakongwe wa fasihi ya kiswahili kwa manufaa ya kizazi kijacho. Baaada ya kuona maktaba nyingi hazina vitabu hivi, Tumeingia chimbo kuvisaka, kuvipitia na kuviweka mfumo wa nakala rahisi (softcopy) unayoweza kuipata kwa whatsapp au email.

Haikuwa kazi rahisi; hivyo utachangia gharama kidogo, isiyozidi elf tano kwa seti ya vitabu vinne. Piga 0713039875 kuwahi kuweka oda. Baadhi ya kazi zilizokuwa tayari ni hizi hapa chini.

View attachment 1506265View attachment 1506267View attachment 1506268
Unacho cha "Hekaya Za Abunuwasi"? JAMII BORA
 
Ingekuwa vyema ungeviorodhesha kwa maandishi ulivyonavyo ili iwe rahisi kuchagua wanavyohitaji.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Kuna hiki kitabu nilikosoma zamani na jina lake silikumbuki vema. Ni kitabu kinachoelezea kikundi fulani hivi cha Wizi kama nipo sahihi kiliku kinaitwa “ALIKIONA” na kiongozi was somebody GILO.

Nakitafuta sana
 
Back
Top Bottom