Unaitafuta Riwaya yoyote ya Legendari wa Kiswahili? Usijali...

Una kitabu cha SIKUNYONGWA, Ndani yumo KABWE MAKANIKA, Mzee Hegal Kaarl Uroose, Bi. Halima na wengineo?
 
Me nahitaji ADILI NA NDUGUZE ya shaaban robert
 
Unacho cha "Hekaya Za Abunuwasi"? JAMII BORA
 
Ingekuwa vyema ungeviorodhesha kwa maandishi ulivyonavyo ili iwe rahisi kuchagua wanavyohitaji.
 
Reactions: BRN
Kuna hiki kitabu nilikosoma zamani na jina lake silikumbuki vema. Ni kitabu kinachoelezea kikundi fulani hivi cha Wizi kama nipo sahihi kiliku kinaitwa “ALIKIONA” na kiongozi was somebody GILO.

Nakitafuta sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…