Unaitumiaje JF Kibiashara?

Usinitilie mchanga kwenye kitumbua changu tafadhali[emoji23]. Wajua fika kuwa kimbunga cha kubana matumizi kiliniumiza mno ikabidi nijipange upya!
[emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Tumieni fursa ila msitumie tu kututapeli
 
Ukitangaza biashara yako jf ukaweka na mawasiliano thread huwezi kuifuta kwahiyo miaka yote utakuwa unasumbuliwa kwenye simu watu wanauliza bidhaa yako.
Mpaka leo napata tabu sana
 
Ukitangaza biashara yako jf ukaweka na mawasiliano thread huwezi kuifuta kwahiyo miaka yote utakuwa unasumbuliwa kwenye simu watu wanauliza bidhaa yako.
Mpaka leo napata tabu sana
Hilo haliwakuti wenye biashara zinazoendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…