Unaitumiaje JF Kibiashara?

Unaitumiaje JF Kibiashara?

Usinitilie mchanga kwenye kitumbua changu tafadhali[emoji23]. Wajua fika kuwa kimbunga cha kubana matumizi kiliniumiza mno ikabidi nijipange upya!
[emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
JF ina members zaidi ya 400,000! Hizi figures nimezisoma hapo pembeni kulia kwa wanaotumia browser. Sasa hivi ninavyoandika kuna watu 2,500 online karibu nusu wanaperuzi kama guests.
Imagine ukiweza kupata wateja 5 tu kila siku kutoka Jf kwa mwaka utakuwa umeinginza kiasi gani. Tusiitumie JF kupiga soga tu tutumie fursa ya umati unaotembelea JF kila siku.
Binafsi naishukuru sana JF na members wote nimepata wateja wengi sana kupitia humu.

Tumieni fursa ila msitumie tu kututapeli
 
Ukitangaza biashara yako jf ukaweka na mawasiliano thread huwezi kuifuta kwahiyo miaka yote utakuwa unasumbuliwa kwenye simu watu wanauliza bidhaa yako.
Mpaka leo napata tabu sana
 
Ukitangaza biashara yako jf ukaweka na mawasiliano thread huwezi kuifuta kwahiyo miaka yote utakuwa unasumbuliwa kwenye simu watu wanauliza bidhaa yako.
Mpaka leo napata tabu sana
Hilo haliwakuti wenye biashara zinazoendelea.
 
Back
Top Bottom