Unaitumiaje samsung health app katika kuweka mwili wako vizuri? (Physically fit)

Hiyo Avarage Pace ni wastani wa Muda (Dakika) unazoweza kukimbia kumaliza 1Km Katika mzunguko huo wa 6Km uliofanya umetumia wastani wa Dakika 7 kwa 1Km... Kumbuka ya Kipchoge ni 2:53 Minutes anakua kamaliza 1Km huyu nahisi ni [emoji89]

App nyingine nzuri ya kutumia ni Runtactis ya Adidas ndio ninayotumia

Running raha sana.
 
In Inachonifurahisha huonyesha muda niliotumia kutembea na nguvu niliotumia, muda niliolala mpaka kuamka
 
Hii ndo best kwangu so far, naamini mwaka huu ntafika hata 15kms in less than 100mins
 
Attachments

  • IMG-20191023-WA0018.jpg
    29.4 KB · Views: 2
"E="Ollachuga Oc, post: 32553109, member: 373935"]
Kwenye tecno itafaa?
[/QUOTE]"
Nadhani hii ni kwa ajili ya simu tu, sisi wenye vifaa vya mawasiliano kama tecno bado wametutenga maana nimetafuta hapa sijaona.
 
Techno tumieni apps nyingine tu
"E="Ollachuga Oc, post: 32553109, member: 373935"]
Kwenye tecno itafaa?
"
Nadhani hii ni kwa ajili ya simu tu, sisi wenye vifaa vya mawasiliano kama tecno bado wametutenga maana nimetafuta hapa sijaona.[/QUOTE]
 
Samsung Health inaniboa tu inavyorecord uongo kwenye daily steps. Hata ukipanda gari yenyewe inaonyesha ulitembea na calories zilizounguzwa zinaonyesha.
Kwenye kuonyesha muda wa kulala na kuamka wametisha sana hapo
 
Sometimes inazingua maana inarecord matembezi yako ya siku nzima na ikakupigia calculation vizuri tu...ishu ukiifuatilia vizuri, utakuta kipindi unaenda zako kupanda daladala, nayo inahesabu na itakuwambia kuwa umekimbia kwa speed ya 70km/hr kwa muda wa masaa 24.
 
Samsung Health inaniboa tu inavyorecord uongo kwenye daily steps. Hata ukipanda gari yenyewe inaonyesha ulitembea na calories zilizounguzwa zinaonyesha.
Kwenye kuonyesha muda wa kulala na kuamka wametisha sana hapo
Nadhani issue ni sensors za simu hapo ndo issue, mimi nina Samsung 2, kwenye daladala haijawahi hesabu yoyote, ila kwenye bajaj S6 inahesabu, Note9 haihesabu, nadhani kwa sababu ya maboresho ya sensors.
 
Nikiwa sehemu yoyote ile kama location iko on lazima isome. Inanikwaza sana
Nadhani issue ni sensors za simu hapo ndo issue, mimi nina Samsung 2, kwenye daladala haijawahi hesabu yoyote, ila kwenye bajaj S6 inahesabu, Note9 haihesabu, nadhani kwa sababu ya maboresho ya sensors.
 
Mm nahitaji kujua kama inaweza kupima kiwango cha sukari mwilini kwa usahihi. Nimejaribu kwa sumsung s6 nimeshindwa.
 
kuna app kwenye simu sinaga hata muda nazo naonaga zinanijazia tu simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…