x - mas
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 931
- 612
- Thread starter
- #21
chama2chawa idea yako ime kaa kishirikina shirikina hi .
umejuaje kama mimi ni mshirikina kama na wewe si mshirikina.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chama2chawa idea yako ime kaa kishirikina shirikina hi .
umejuaje kama mimi ni mshirikina kama na wewe si mshirikina.
Watu wanamsakama Mtoa Maada Bure, Ni kweli kabisa kiuchumi ni makosa kujenga nyumba kwa cash yako mwenyewe hasa Mshahara na Nchi zilizo endelea Haiuruhusiwa kabisa kujenga kwa pesa yako, ni razima uchukua mkopo Benki na Marejesho yake ni kidokidogo na unaweza rejesha mpaka ukafa na watoto wakamalizia, na ni marejesho yasiyo umiza si kama huku Bongo kukomoana
Isipo kuwa kwa watu wenye pesa kama wasanii na wafanya biashara wakubwa, tena hao hutakiwa kununua,
Na that is why, Mikopo ya Kujenga Nyumba Hurejeshwa kwa Muda Mrefu sana, Lakini huku Bongo mtu anakopa mkopo na anajenga nyumba na inatakiwa Aurejeshe ndani ya Mwaka mmoja au Miwili, Hii kiuchumi haipo na inapatikana Bongo pekee,
Mara Nyinyi nyumba Huchukua Muda Mrefu sana Kuja kufanya Return hata hayo Magorofa Unayo yaona Inawachukua miaka Mingi sana kuja ku break even
Ingawa some time Mazingira ya huku anaforce watu kujenga Nyumba na hii ni kutokana na kwamba Ujenzi huku Africa hasa Bongo ni Rahisi sana na hakuna Sheria kabisa, Thati is why unakuta Mtu kajenga Gorofa si Gorofa yaani nyumba haileweki, Lakini kwa Wenzetu hakuna kitu kama hicho Sheria za Ujenzi ni kari sana na Kuna makampuni yanayo husika na kazi za Ujenzi na si mtu kuanza kukusanya Misumari, Nondo na kuanza kujenga, Na hilo ndo linalo tufeza huku Tanzania,
Na ndo maana hata serikali inajaribu kuja na vitu kama Mikopo ya Nyumba kwa sababu wanafahamu kabisa nyumba inahitaji Marejesho ya Muda Mrefu sana na wazungu some time hata hawajengi wanaishi kwenye Nyumba za Kupanga mwazo mwisho kutokana na mambo kama haya

Mbona mnaigeuza JF kijiwe cha uongo? Nchi gani iliyoendela ambayo watu wake wanakatazwa kujenga kwa pesa zao?

By pcman

Mi ninachojua kwa sasa naitwa Baba mwenye nyumba.

Sent from my LT26i using Tapatalk 2

heshima pesa ubaba mwenye nyumba chanzo cha shikamoo ambazo ni kelele tu
Wewe ndo umegeuza kijiwe cha Kahawa na sijui umetoea wapi, Ni Nchi nyingi za Ulaya na hata Marekani, Uliza Wachumi wakusaidie na sio kutaka kuaply CIVICS kwenye mambo ya Uchumi.
Baba mwenye nyumba haina maana lazima uwe na nyumba,baba mwenye nyumba maana yake kuwa na mke.Mbona mimi naitwa baba mwenye nyumba wakati nimepanga?Mi ninachojua kwa sasa naitwa Baba mwenye nyumba.
Sent from my LT26i using Tapatalk 2
amani iwe nanyi ndugu zangu,kuna hii kitu inanishangaza sana utakuta kijana mfanya kazi za kawaida sana tukiachana na kazi zenye mishahara mikubwa kama ubunge hapa nazungumzia kwa mwanajeshi, mwalimu,askari,bibi/bwana shamba au nesi halafu ni bachela hana mke wala familia amepata pesa labda kwa mkopo,sasa huyu mtu badala ya kufungua mradi aongeze kipato ana kimbilia kununua kiwanja na kujenga nyumba ya kuishi na sio ya biashara utafikiri kaambiwa kuwa viwanja vitaisha kesho ndugu yangu nakwambia viwanja haviishi leo Tanzania hii utazeeka na kufa wewe viwanja vitaendelea kupatakana labda kwa baadae sana ndo tutasema viwanja vimeisha kwani hata marekani pamoja na kuwa na majengo mengi hukitaka kuwa na nyumba yako leo hii utapata hela yako tu..naomba uniwieradhi kama nimekuvunja moyo ila ndo ukwali huo ongeza kipato chako kwanza ndo ujenge nyumba.
heshima pesa ubaba mwenye nyumba chanzo cha shikamoo ambazo ni kelele tu
Sawa mkuu,
sasa nikishapata huo mkopo nikaamua kuanza biashara ili niongeze kipato,
wakati huo mimi nitakuwa nakaa wapi? wazo lako linawalenga Watz walioko
hatua ya pili ( wale ambao familia zao zimeshajijenga tayari), wale
walioingia mjini na kufikia kwa mtu au homeboy hawezi kukuelewa
unapomshauri aanze b/ness wakati hana pa kukaa. Kumbuka utegemezi kwetu
bado haujaondoka,wengi wetu baada ya kuanza vibarua tunapiga picha home
tulikotoka na tunachokiona ndio kinatufanya tujenge kwanza biashara
ambalo si chaguo la kila mtu huja baadae baada ya kupata utulivu wa
akili.
Nakupa changamoto hii,
Mama mzazi atoke kijijini kwenu aje kukutembelea mjini, akute uko kwenye
chumba cha kupanga ili hali una mabiashara makubwa makubwa, sijui kama
atakuelewa ( nazungumzia kiafrica zaidi, mlio na mawazo ya Uk hii not
applicable). Kwetu sisi heshima ya mtu awe na kwake ( nyumba kwanza) na
mengine yafuate. Samahani niko Kiafrika zaidi.
uko sahihi,lakini mimi nazungumzia kijana bachela mwenye kazi ya kawaida,mimi ambacho sikubaliani ni ile kujenga nyumba ya kuishi yeye mwenyewe yaweza kuwa ya vyumba 2 ambayo ni vigumu kupangisha.Nakama atajenga nyumba na akapangisha is okey ndo hapo tunasema kaingia kwenye ujasiriamali hiyo itakuwa safi sana.
amani iwe nanyi ndugu zangu,kuna hii kitu inanishangaza sana utakuta kijana mfanya kazi za kawaida sana tukiachana na kazi zenye mishahara mikubwa kama ubunge hapa nazungumzia kwa mwanajeshi, mwalimu,askari,bibi/bwana shamba au nesi halafu ni bachela hana mke wala familia amepata pesa labda kwa mkopo,sasa huyu mtu badala ya kufungua mradi aongeze kipato ana kimbilia kununua kiwanja na kujenga nyumba ya kuishi na sio ya biashara utafikiri kaambiwa kuwa viwanja vitaisha kesho ndugu yangu nakwambia viwanja haviishi leo Tanzania hii utazeeka na kufa wewe viwanja vitaendelea kupatakana labda kwa baadae sana ndo tutasema viwanja vimeisha kwani hata marekani pamoja na kuwa na majengo mengi hukitaka kuwa na nyumba yako leo hii utapata hela yako tu..naomba uniwieradhi kama nimekuvunja moyo ila ndo ukwali huo ongeza kipato chako kwanza ndo ujenge nyumba.
Unaishi kwa nani?amani iwe nanyi ndugu zangu,kuna hii kitu inanishangaza sana utakuta kijana mfanya kazi za kawaida sana tukiachana na kazi zenye mishahara mikubwa kama ubunge hapa nazungumzia kwa mwanajeshi, mwalimu,askari,bibi/bwana shamba au nesi halafu ni bachela hana mke wala familia amepata pesa labda kwa mkopo,sasa huyu mtu badala ya kufungua mradi aongeze kipato ana kimbilia kununua kiwanja na kujenga nyumba ya kuishi na sio ya biashara utafikiri kaambiwa kuwa viwanja vitaisha kesho ndugu yangu nakwambia viwanja haviishi leo Tanzania hii utazeeka na kufa wewe viwanja vitaendelea kupatakana labda kwa baadae sana ndo tutasema viwanja vimeisha kwani hata marekani pamoja na kuwa na majengo mengi hukitaka kuwa na nyumba yako leo hii utapata hela yako tu..naomba uniwieradhi kama nimekuvunja moyo ila ndo ukwali huo ongeza kipato chako kwanza ndo ujenge nyumba.