Hizo ni tofari za outer walls tu. Kila moja ni Shillingi 2,000.
Unafuu unakuja kuwa haitumii cement ya mota kujengea wala hazihitaji plaster ya cemnt. Touchups tu za skimming.
Kwa ujenzi wetu tukiezeka na Abraar waffle zetu. Unapata unafuu wa bati, mbao, gypsum board na unakuwa tayari na uwezo wa kuongeza nyumba nyingine juu, ghorofa moja. Gharama ya kuongeza nyumba juu kwa vifaa vyrt7vyetu ni ziada ya mimillion byingine 20 tu.
Estimated kwa msingi wa kina cha meter moja chini ya ardhi mpaka kuezeka nyumba ya around square neters 120 floor area ni TZS 30 Miilion. Estimations ni kwa kutumia vifaa vyetu kuanzia msingi mpaka kuezeka. Wewe utanunua chuma na kuhskikidha unatupatia maji ya ujenzi.
Hapo tunakujengea na jengo la vyoo viwili vya nje kwa kutumia round blocks zetu za kipekee bila ghsrama ya ziada.
Note: ikiwa utajenga kwenye maeneo yetu mtaa wa Vitendo, Misugusugu, Kibaha au Mduzi, kuelekea Boza Beach ukitokea Mlandizi utapata kiwanja cha 20 x 40 kwa gharama hizo hizo.
Unafuu mwengine ni kuwa hauhitaji kuwa na pesa zote mara moja. Kama kiwsnja ni chako tunaanza kukujengea kwa malipo ya taratibu taratibu bila riba bila hidden charges
Ramani za jengo na vibali vya ujenzi ni gharama zako.
Kama una maswali zaidi uliza tu hapa hapa au whatsapp 0625249605.
Programme yetu ya ujenzi inaitwa Abraar Bricks Nyumba kwa wote. Ni non profit programme.