Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 749
- Thread starter
-
- #21
Kuezeka kwetu kwa aina ya kipekee. Dari pamoja na kipaa kwa kifaa kimoja muhimu .
Mkuu, naomba unikopeshe mifuko 400 ya sumenti ntakuwa nakulipa kidogo kidogo 😀😀😀Kuezeka kwetu kwa aina ya kipekee. Dari pamoja na kipaa kwa kifaa kimoja muhimu .
Ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu...
Hey Abdul this is just an art, do you have a photograph where you have actually built with this ssystem? Looks too good to be true.View attachment 2240648
Abraar Bricks Nyumba kwa wote. sasa tumekuketea Tofari zilizoenda shule. Hapo juu unaziona jinsi zinavyojenga. Hazihitaji kukatwa unapozijengea. Hazihitaji mortar, zinaji lock zenyewe pia hazihitaji plastering. Zinajitosheleza.
Tumempunguzia sana kazi fundi Maiko. Tazama picha zinazofata ujionee zaidi.
Abraar Bricks Nyumba kwa wote. Ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu.
Kwa marlezo zaidi. Piga simu au whatsapp kwa Abdul Ghafur +255625249605
Vyema sana. Njoo site yetu tupo Mtaa wa Vitendo, kata ya Misugusugu, Kibaha mji. Mkoa wa Pwani. 50 Kilometers from Dar City Centre. Mobile 0625249605.Mkuu, naomba unikopeshe mifuko 400 ya sumenti ntakuwa nakulipa kidogo kidogo 😀😀😀
Hi. Yes we have photographs. Please see number 12 above. Soon we will post more photgraphs and video clips.Hey Abdul this is just an art, do you have a photograph where you have actually built with this ssystem? Looks too good to be true.
Looks really cool!Tutumie whatsapp 0625249605 tujulishe utakavyo tutakupatia halafu wewe ruhusa kuweka kwenye mitandao ya kijamii.
Wengine hatuna uzoefu sana wa hii mitandao.View attachment 2234065
Thanks Abdul. My apologies, if you allow me, send me your photos and video clips and I will post them here.Hi. Yes we have photographs. Please see number 12 above. Soon we will post more photgraphs and video clips.
You can also come and expirience the technology physically, they are better physically than any photo.
Nimesoma kuwa umeandika ni 'Non profit programmes'. Kweli hiyo?Hizo ni tofari za outer walls tu. Kila moja ni Shillingi 2,000.
Unafuu unakuja kuwa haitumii cement ya mota kujengea wala hazihitaji plaster ya cemnt. Touchups tu za skimming.
Kwa ujenzi wetu tukiezeka na Abraar waffle zetu. Unapata unafuu wa bati, mbao, gypsum board na unakuwa tayari na uwezo wa kuongeza nyumba nyingine juu, ghorofa moja. Gharama ya kuongeza nyumba juu kwa vifaa vyrt7vyetu ni ziada ya mimillion byingine 20 tu.
Estimated kwa msingi wa kina cha meter moja chini ya ardhi mpaka kuezeka nyumba ya around square neters 120 floor area ni TZS 30 Miilion. Estimations ni kwa kutumia vifaa vyetu kuanzia msingi mpaka kuezeka. Wewe utanunua chuma na kuhskikidha unatupatia maji ya ujenzi.
Hapo tunakujengea na jengo la vyoo viwili vya nje kwa kutumia round blocks zetu za kipekee bila ghsrama ya ziada.
Note: ikiwa utajenga kwenye maeneo yetu mtaa wa Vitendo, Misugusugu, Kibaha au Mduzi, kuelekea Boza Beach ukitokea Mlandizi utapata kiwanja cha 20 x 40 kwa gharama hizo hizo.
Unafuu mwengine ni kuwa hauhitaji kuwa na pesa zote mara moja. Kama kiwsnja ni chako tunaanza kukujengea kwa malipo ya taratibu taratibu bila riba bila hidden charges
Ramani za jengo na vibali vya ujenzi ni gharama zako.
Kama una maswali zaidi uliza tu hapa hapa au whatsapp 0625249605.
Programme yetu ya ujenzi inaitwa Abraar Bricks Nyumba kwa wote. Ni non profit programme.
Ni kweli kabisa.Nimesoma kuwa umeandika ni 'Non profit programmes'. Kweli hiyo?