Unajenga? Tuna aina mpya ya vifaa vya ujenzi vinavyokupunguzia gharama za ujenzi na kukuokolea muda

Hii ni moja ya aina ya blocks zetu๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ

3 steps stair case. Designed and under construction by Abraar Bricks Nyumba kwa Wote for Abraar Nursery School Computer Class.

for more info call Abdul Ghafur
Mobile; +255625249605
*
 
Attachments

  • 20220610_170539.jpg
    314 KB · Views: 68
  • 20220610_170356.jpg
    252.9 KB · Views: 63
  • 20220610_170756.jpg
    261.4 KB · Views: 62
  • 20220610_170335.jpg
    259.8 KB · Views: 63
  • 20220610_170603.jpg
    300.1 KB · Views: 61
Biashara nzuri sema huu uswahili wa wabongo kuitana inbox huwa ni dalili ya kutokujiamini.. kama ilitakiwa uandae hata profile ambayo inaelezea hizo ratio na gharama zake sio kusimulia watu kama mpira.

Unavyokuwa serious na wateja wanakuwa serious.. au wewe target market yako ni ipi mkuu?

Sent from my SAMSUNG-SM-J327A using JamiiForums mobile app
 
Asante kwa ushauri. Hatuna ujuzi huo. Njoo tusaidie
 
Hii ni moja ya aina ya blocks zetu๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ

3 steps stair case. Designed and under construction by Abraar Bricks Nyumba kwa Wote for Abraar Nursery School Computer Class.

for more info call Abdul Ghafur
Mobile; +255625249605
*
kijana wa Jana Abdul ghafur Mohammed,
Asalaam alaykum akhy!?
 
Hayo matundu si yanalamba sana cement na mchanga unaomwagikia humo
 
Hayo matundu si yanalamba sana cement na mchanga unaomwagikia humo
Matundu yapo upande mmoja tu yanapunguza sana gharama ya cement. Kuna namna yake ya kujenga, nitaweka picha baadae.

Pia hizo tundu zinapunguza sana gharama ya nishati ya kupooza (kwenye joto) au kupasha joto kwenye baridi) chumba (insulation).
 
๐Ÿ™
 
Mzee kitu bila plaster maana yake hakina rangi,kitu kama hakina rangi ni sawa na shule za zamani
 
Mzee kitu bila plaster maana yake hakina rangi,kitu kama hakina rangi ni sawa na shule za zamani
Hapana unaweza piga rangi upendayo na zipo zenye rangi tayari. Hizi ni hightech blocks. Jionee...
 
Attachments

  • GlenBlockFullGabelPainted-nw.png
    51.2 KB · Views: 65
  • GlenBlocksPainted-nw.png
    29.7 KB · Views: 57
  • GlenBlockPartGabelPainted-nw.png
    42.1 KB · Views: 61
Mzee kitu bila plaster maana yake hakina rangi,kitu kama hakina rangi ni sawa na shule za zamani
tofali zisizopigwa plasta zipo za aina nyingi unafanya skimming na unapaka rangi uipendayo sawa na ukuta uliopigwa plasta, zinatengenezwa zikiwa na sura laini isiyo na mikwaruzo(smooth).
 
Uko mkoa gani mkuu? Wewe unauza kwa ujumla ? Una tovuti ya intaneti ?
Tovuti bado, ndio tunatafuta mtu atufanyie. Tunauza jumla kwa order, tunaweza kufika mkoa wowote.

Sisi tunaitwa Abraar Education Centre

Tuna madarasa ya Computer, English,Arabic, kuunda vifaa vya ujenzi na ujenzi wenyewe masonry). Abraar maana yake ni waja wema. Mobile No. 0656399856 au Whatsapp 0625249605 pia tuna madarasa mengine kadhaa ya fani mbali mbali na mengine yanayotarajiwa kuanzishwa hivi karibuni.

Tupo mtaa wa Vitendo, kata ya Misugusugu, wilaya ya Kibaha, mkoa wa pwani.

Stendi inaitwa Miyomboni Shule au Misugusugu Shule ya msingi. Ukitokea Morogoro tupo baada kidogo ya kupita Mlandizi.๐ŸŒด๐ŸŒด๐ŸŒด๐ŸŒด
 
Tovuti bado haijawa tayari
 
zinavutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ