JamiiCheck
JF-Expert Member
- Nov 3, 2023
- 245
- 267
Dosari ya kwanza kabisa angalia miguu ya huyo mtu wa mbele kabisa alievaa kofia,aliyechuchumaaMdau mmoja kutoka katika mitandao ya kijamii alichapisha kipande hiki na kudokeza kuwa imetoka huko Arizona.
Tushirikiane kuthibitisha kwa kutaja dosari zinazoonekana.
View attachment 3434850
Pili back ground yote inasogea kama imebandika milima na mawingu vyote vinasogea kwa jinsi picha ilichukuliwa. Haikupaswa kuwa hivoHilo vumbi linadondokea wapi linadondoka na kuyeyeka kama maji
Safi 👏Tunaanza viashiria
1.movement ya camera man aliyevaq blue bahari unaona haiko sawa abnormal unajua ni AI
2. Hakuna machine au kitu kinaweza kutoa mavumbi kwa mtindo huo
3. Mavumbi kupotea ghafla
Kwa kawaida mavumbi yakiea hewani baada ya kutimiuliwa kama kwenye video huchukua muda kidogo kujisafisha yatakaa hewani muda fulani sasa hayo mavumbi yanapotea kwa mara moja ni AI
4. Common sense
Pia kutambua ai video pia kuna hitaj common sense tu sio akili kubwa ila ukiwa huna common sense utapigwa sana na hivi video
Amekushtua mkuu😂Kuna mtu ana miguu mitatu
👏1. Uwiano wa vumbi (haiwezakani vumbi likawa sawa ilivyo)
2. Background
3. Aliyevaa kofia amejielekeza mbele tofauti na mtiririko wa vumbi
👏Kuna mtu ana miguu mitatu
😂anashtushaCamera man mbona anaelea!?
Mdau mmoja kutoka katika mitandao ya kijamii alichapisha kipande hiki na kudokeza kuwa imetoka huko Arizona.
Tushirikiane kuthibitisha kwa kutaja dosari zinazoonekana.
View attachment 3434850
Safi 👏Video inaonekana kukole,wa sana, kwa editing.
Angalia rangi, mwangaza, na umbile la vitu vyote vina mfanano,
vumbi linamwagika kama mchanga, au mchele tena kwa kiustaarabu na kwa mfanano.
Mawingu yaaonekana kama "donge" yaani msawajiko wa wingu.
Watu hawasogei mbele wala nyima zaidi ya kugeuka kama maroboti