Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Mimi nitasherehekea sikukuu ya krisimasi nikiwa Kolandoto, Shinyanga. Wewe sikukuu ya krisimasi inakukuta ukiwa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KitandaniMimi nitasherehekea sikukuu ya krisimasi nikiwa Kolandoto, Shinyanga. Wewe sikukuu ya krisimasi inakukuta ukiwa wapi?
Itanikuta nyumbani kwangu panapo majaaliwa.Mimi nitasherehekea sikukuu ya krisimasi nikiwa Kolandoto, Shinyanga. Wewe sikukuu ya krisimasi inakukuta ukiwa wapi?
Acha basi?Mama lishe wote kesho hawafungui hapa Misungwi; na ubao wa mwaliko unasoma bila bila. Kesho kuna hatari ya kushinda na njaa wallahi!
Nimemiss wazazi 😁Umekuja town...
Ujisogesze g7 pale
si uende bariadi bar ukale mbuzi choma na ugaliMama lishe wote kesho hawafungui hapa Misungwi; na ubao wa mwaliko unasoma bila bila. Kesho kuna hatari ya kushinda na njaa wallahi!
Watafungua kesho mkuu?si uende bariadi bar ukale mbuzi choma na ugali
nakua mualiku mkuu kesho njoo mtaa wa bomani ukifika maeneo hayo ulizia kwa mzee kampuni.....Watafungua kesho mkuu?
Asante sana. Hapa kichwa kilikuwa kinawaka moto yaani...
Hapo kolandoto msalime sana mama evodia ndaka..Mama lishe wote kesho hawafungui hapa Misungwi; na ubao wa mwaliko unasoma bila bila. Kesho kuna hatari ya kushinda na njaa wallahi!