Unajiandaa kusherehekea Krisimasi ukiwa wapi?

Unajiandaa kusherehekea Krisimasi ukiwa wapi?

Mimi nitasherehekea sikukuu ya krisimasi nikiwa Kolandoto, Shinyanga. Wewe sikukuu ya krisimasi inakukuta ukiwa wapi?
Itanikuta nyumbani kwangu panapo majaaliwa.
Ni utaratibu wangu miaka kadhaa huwa sitoki siku za sikukuu kwani kila kiwanja kizuri kuna mafuriko ya watu nami sipendi mikusanyiko.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom