Unajidai upo huru, ajabu unalilia usiwekewe vikwazo?!

Nsumba-ntale

Member
Joined
May 24, 2026
Posts
15
Reaction score
80
Tanzania ni Nchi huru na isiyoweza kuingiliwa na Nchi nyingine kwenye masuala yake ya ndani. Sasa, kwa nini tunawa-bembeleza waa-Amerika wasituwekee vikwazo?

Kwa nini tusiwapuuze waa-Amerika kwa takwa na nia yao ya kutaka kutuwekea vikwazo ambavyo kama Nchi huru, havitatupa athali yeyote?!

Eti...!
 
Uhuru wa kuuwa watu? Hapana washughulikiwe CCM na akina ssh.
 
Back
Top Bottom