Unajifunza nini kwenye picha hii?

Unajifunza nini kwenye picha hii?

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Screenshot_20240208-181616.jpg




Kuna kitu cha kujifunza kutoka kwenye hii picha.

picha kuna muda zinatabiri Mambo ya, mbeleni
 
Hapa ni rais jomo kenyata ,uhuru akiwa mdogo,rais mwaikibaki na rais arap moi
 
Nchi ya Wakabila.
Wakikuyu watatu na mkalenjin mmoja ambao wote wamefanikiwa kutawala Kenya
 
Walio tangulia wapumzike kwa amani , mzee Kenyatta, mzee moi na mzee kibali.

Ninachojifunza siasa za Afrika za kisasa na kutokubaliana na mawazo tofauti na unayoyaamini wewe na mirengo ya kiifuasi pamoja na ubinafsi rais wa pili kenya angekuwa Jaramogi Ajuma Odinga.
 
Back
Top Bottom