Yani ndo mana Mungu akanikutanisha na wewe ili uje kunilea duniani baada ya my Parents.
Thanx,
Mmwaaaahh..!!!,
vp nikuandalie msosi gani usiku?
Au tutaenda kula Wantanshi BQ?
Ndio inauma sana.
Ila nyie wanaume mna makosa sana,
kwa nini usimwambie huyo mwanamke kuwa hautamuoa?
Kawaacha wangapi wenye nia mpaka kakusubiri wewe?
Na mwisho wa siku unamuacha kisha unaoa gal mwingine?
Kwa hilo sio wanaume tu, mie mwenyewe ninawafahamu wanawake ambao from no where waliacha wachumba zzao na kwenda kuolewa na kuacha wenzao wakilia tu!!! ashukuriwe Mungu ambaye hutupa kusamehe na kusahau!
Usiku wa kuamkia leo lazima umeniota......
Kwani alikupanda lini ?
Hamna hyo,
unatafuta sababu ili muonekane mko care likija suala la mapenzi kumbe wala!
Ah ah ah kama na sisi tungekuwa tuna-generalize hivyo sidhani kama tungeoa!!! Wanaume pia tunatofautiana, na hiyo nimekupa ni true story kabisa 100% sure, na pia hata wanawake pia wanatofautiana!
Ukiona na ukishasema wapenzi wako inamaana wengi af wameoa na kuolewa basi wewe GUDE GUDE ndo maana hujaoa/kuolewa!!
Asante kwa kusema ukweli ila umemalizia na uongo....
Mie siyo mbishi ila ni mkweli.....Jamani jamani...
Hamna hyo,
unatafuta sababu ili muonekane mko care likija suala la mapenzi kumbe wala!