Nashangaaa!!!
Hv kiuhalisia Jdg unaweza kumuota mtu ambaye hata humfahamu kwa sura?
bac usiolewe kama wanaume wote co wakwel
inaonekana wamekutenda
pole madam
Usikute tulianzana na wewe ohoooooo....!!!
kumbuka hata hao vimwana wengine wanawatu wao lakini wanacheat xo usiangalie upande m1
Hilo walau linawezekana na si shangazo sana as such !
Mtu awezamuota asiyemjua for image from unkwnown source!
Shangazo ni hili - A born's blind person nae huota various dream ! Mf. Anaweza kumuota Twiga, Paka, Tembo, Mtu, Bahari n. k n.k sasa jiulize everthat person give berth hajaona hizo images anazodream where's come from?
Hebu think deeply inakuajekuaje? Hii ndo miracle !
Eeehee mwenzetu umekulia south Africa teh teh hapana jua swahili...
Namaanisha ndoto siyo mbegu....!!
Na ulivyo mbwendembwende utanikamatia wapi?
Na ulivyo mbwendembwende utanikamatia wapi?
Utaniwezea wapi mie mzee wa mujini?Nakukimbiza afu Nakuvuta shati,
ukianguka tu chini...,
nakaa kwa juu naanza kukuchapa.
Akhu,
uanzane na nani?
Mimi B/F wangu wa kwanza alikuwa Bruno Mars enzi hzo tunakaa kota za NHC Upanga.
Ndo akapata zali la kwenda Unyamwezini,