The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
20% nayoipata niyakwangu najilipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye business trip sio Kila sikuJumla Kwa mwezi ni 1,200,000/=
Biashara unayoifanya ni nzuri
Kiingereza ya msomi wa tanzania 😂😂😂😂Yap 1.5m, sifanyi biashara ya kununua na kuuza i do freelancer
Kwanini? Biashara halali haziingizi pesa? Mimi najilipa fixed amount ambayo inapanda kila mwaka au miaka miwili.Biashara halali huwezi kupata mshahara ambao ni fixed
only kwenye biashara haramu ndo itawezekana!
Safi sana uko sahihi kwa kiasi kikubwa.(KWA MAONI YANGU)
Jinsi ya kujua jinsi ya kujilipa kwenye biashara ni jambo mtambuka, kwa sababu kwenye biashara kuna watu wa aina mbili.
1. Aliyejiajiri: Huyu ni lazima awepo ofisini. Asipokuwepo, hakuna kitu kinafanyika. Mfano: Fundi cherehani.
2. Mjasiriamali: Huyu uwepo wake sio lazima sana. Ana mfumo ambao unamsaidia jinsi ya kufanya kazi. Mfano: Fredy Vunjabei.
Sasa linapokuja swala la kujilipa, inategemea sana upo kundi gani.
1. Kwa aliyejiajiri hana utofauti mkubwa sana na mwajiriwa, hii ni kwa sababu wote wanauza muda wao. Hivyo kipimo cha jinsi ya kujilipa kwa aliyejiajiri kinatakiwa kishabiane na cha mwajiriwa (Hapa unalinganisha biashara unayofanya na scale za mishahara ya wafanyakazi wanaofanya kazi kama uliyojiajiri).
2. Kwa mjasiriamali huyu uwepo wake ofisini sio wa lazima sana katika biashara yake, hivyo hana kipimo maalumu. Kipimo cha kujilipa kinabadilika badilika kutegemeana na mazingira ya biashara. Mfano:- kuna mwezi anaweza asijilipe kabisa kwa sababu fedha iliyopatikana haitoshelezi kujilipa yeye, kuwalipa wafanyakazi na kurudisha mikopo . Ila kuna miezi ambayo kwa mwezi atapata 4x baada ya kutoa matumizi yote. Kumbuka huyu mtu anatumia team kufanya kazi na sio yeye kuhusika moja kwa moja. Kwa kipindi ambacho yuko kwenye loss, atatafuta namna nyingine ya kusurvive.
Hivyo ni ngumu sana kupata jibu la moja kwa moja la kujua ni kiasi gani mfanyabiashara anajilipa kila mwezi, hii ni kutokana na utofauti wa wafanyabiashara kama nilivyoeleza hapo juu.
N.B
Kama kuna sehemu nimekosea naomba nirekebishwe
Freelancing kwenye nn mkuu..tupatie line tafadhariYap 1.5m, sifanyi biashara ya kununua na kuuza i do freelancer
kama inapanda kila mwaka au miaka miwili iweje iwe fixed?Kwanini? Biashara halali haziingizi pesa? Mimi najilipa fixed amount ambayo inapanda kila mwaka au miaka miwili.
Freelancer wa mitandao tigo, voda, halo na airtel target 5 line per day uwakikaFreelancing kwenye nn mkuu..tupatie line tafadhari
Unafanya biashara gani?HONESTLY MIMI 100000 mwez huu nataka nijipromote nianze kujilipa 120000 ndio ni kidogo but i am grateful.
Mkuu ongeza nyama nikueleweBiashara halali huwezi kupata mshahara ambao ni fixed
only kwenye biashara haramu ndo itawezekana!
Nikiamua mwaka huu ni sh10 ni hio hio mwaka mzima haipungui haiongezeki. Nikiamua mwaka ujao ni sh15 ni hio hio mwaka mzima. Hesabu inaenda kwamwaka so ni fixed mwaka mzima.kama inapanda kila mwaka au miaka miwili iweje iwe fixed?
Nikiamua mwaka huu ni sh10 ni hio hio mwaka mzima haipungui haiongezeki. Nikiamua mwaka ujao ni sh15 ni hio hio mwaka mzima. Hesabu inaenda kwamwaka so ni fixed mwaka mzima.
Kuuza karanga.Unafanya biashara gani?
Poa. Upo my sister?Za siku nyingi?