Unajilipa bei gani kwenye biashara yako?

Safi sana uko sahihi kwa kiasi kikubwa.
 
kama inapanda kila mwaka au miaka miwili iweje iwe fixed?
Nikiamua mwaka huu ni sh10 ni hio hio mwaka mzima haipungui haiongezeki. Nikiamua mwaka ujao ni sh15 ni hio hio mwaka mzima. Hesabu inaenda kwamwaka so ni fixed mwaka mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…