Kama mtaji wako ni M1, kwa mwezi ukajijikuta mauzo yako ni 1.4 ni vyema, kuweka hela ya mtaji pembeni, pia gharama za uendeshaji faida inayobaki igawe nusu IKUZE MTAJI, nusu jilipe.
mwanzoni Kama biashara haijaavnza kupata faida usijilipe 😊chukua pesa ya vitu muhimu tu kama chakula kodi nk nyingine irudi kukuza mtaji