Unajiona una mikosi?

Hahaha
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbavu zangu jamaniiiii
 
Bora yangu mi nilikuwa naandika kwenye kuta za nyumba za watu na kwenye kuta za fance
 
Hahaha mimi mmoja wapo nilikuwa naandika machata, lakini sio chooni [emoji75]
Mimi ilikuwa darasani tena juu ya ubao aseee.... Sema ilinicost sana aseee
 
Aliwazalo mtu ndio huwa... Mwandiko wake umebeba dhima na uhalisia wake... Kuna mahusiano ya moja kwa moja kiroho na majina tunayojipa imagine unajiita Magonjwa Mtambuka.... [emoji848][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Uchochezi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…