Unajiona wapi kwa kipindi cha muda wa miaka mitano au kumi ijayo?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Wakati tukienda mwisho wa mwaka 2021 na kuanza mwaka mpya wa 2022 sio mbaya tukishare mitazamo juu ya maisha yetu binafsi especially kwa kipindi kijacho ili kupeana motisha katika kutimiza malengo yetu.

Binafsi katika kipindi cha miaka mitano ijayo najiona nitakuwa nimetimiza yafuatayo.

1. Nitakuwa na chanzo cha uhakika cha mapato
2. Nitakuwa mdingi fulani ambaye atakuwa na hekima za kutosha.
3. Nitakuwa nimeongeza elimu katika ngazi fulani

From northern part of Tanzania
 
Kipindi Cha miaka mitano ijayo nitakuwa na kiwanda kikubwa Cha kutengeneza juice.

Nitakuwa na restaurant kubwa Sana hapa hapa Chuganian😀😀

Nitakuwa braza kaka ambaye nipo kisela Sana Yani huwezi jua Kama Nina hela😀😀

Nitakuwa na dread ndefu Sana.

Nitakuwa mtu wa masafa Sana kuzunguka nchi mbali mbali kujionea uzuri wa dunia.

Hayo yote nitatimiza in the next five years.

Amini kwamba....💪💪
 
Plan nzuri sana wish all the best.
 
1. Nitakuwa na chanzo cha uhakika cha mapato
2. Nitakuwa na familia hata ya kuunga na 'soltepu'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…