BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Wakati tukienda mwisho wa mwaka 2021 na kuanza mwaka mpya wa 2022 sio mbaya tukishare mitazamo juu ya maisha yetu binafsi especially kwa kipindi kijacho ili kupeana motisha katika kutimiza malengo yetu.
Binafsi katika kipindi cha miaka mitano ijayo najiona nitakuwa nimetimiza yafuatayo.
1. Nitakuwa na chanzo cha uhakika cha mapato
2. Nitakuwa mdingi fulani ambaye atakuwa na hekima za kutosha.
3. Nitakuwa nimeongeza elimu katika ngazi fulani
From northern part of Tanzania