Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Ok sema vitu vya congo na ivory coast naviogopa sana bora products za south africa maana za ulaya na america ni feki tuMkorogo mpk uchanganye na mavitu mengne best peke ake ni kama lotion nakua soft nzr sana
hongera sanaNaogea sabuni ya magadi from kigoma.
Napaka babycare.
Duuh! Una "aleji" kama mimi nini?Mimi napaka mafuta ya mbegu za nawese toka kyela anatengeneza nama yangu.kuhusu sabuni pia natumia zilozotengenezwa kwa mawese.nikikosa naogea sabuni ya mche yeyote.
mafuta ya nazi huwa unayawekeaje hvo vikorobwezo dear? mimi nayatumia tu hivohivoDuuh! Una "aleji" kama mimi nini?
Me pia natumia sabuni hizo kama nikibadili ni dettol, kinyume na hapo ni majanga.
Mafuta ya nazi (nitangeneza mwenyewe, naweka na karafuu+mdalasini+hiliki)
ngozi yangu ni ya kawaida dear sio ya mafuta wala sio kavuMtoa mada hujasema aina ya ngozi yako ili tujue foundation ipi yakufaa, ingawa kwa haraka haraka tu ni kua foundation nzuri ni zile kavu. Tatizo picha wanazingua ku-upload hawa jf ningekuwekea mfano.
hapana siuzi kitu tunapiga tu storyHyo mafuta unauza
Yes, naweka kukata ile harufu ya mafuta ya nazi, maana siipendi, pia hivyo vikorombwezo pia vinasaidia mwilini.mafuta ya nazi huwa unayawekeaje hvo vikorobwezo dear? mimi nayatumia tu hivohivo
Tuko wengiBabycare mpka nakufa
kweli karafuu ni nzuri sana ngoja nitawekaYes, naweka kukata ile harufu ya mafuta ya nazi, maana siipendi, pia hivyo vikorombwezo pia vinasaidia mwilini.
Basi foundation zile kavu ni nzuri,ngozi yangu ni ya kawaida dear sio ya mafuta wala sio kavu
acheni ubahiliBabycare aka tego la Nzi