Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nipe brand name maana kuna moja nilitumia nilipata chunusi sana halafu mac nyingi fekiBasi foundation zile kavu ni nzuri,
Kama upo Dar nenda duka la Twaiba wanazo au maduka ya waarabu wanazo hizo nzuri sana.
za nini tena?Nilijua unauza nlitaka kopo mbili 2
Kama karafuu tu, kazi ni ile ilekweli karafuu ni nzuri sana ngoja nitaweka
ila iliki inasaidia nini kwenye ngozi?
Be proud of ur own u knew...acheni ubahili
Niitumiayo mimi yaitwa DREAM MATTE MOUSSE.nipe brand name maana kuna moja nilitumia nilipata chunusi sana halafu mac nyingi feki
Twaiba liko wapi? Naomba unitajie jina au picha ya hiyo foundation dearBasi foundation zile kavu ni nzuri,
Kama upo Dar nenda duka la Twaiba wanazo au maduka ya waarabu wanazo hizo nzuri sana.
shukrani ngoja niitafute dear ,hivi haya mnafuta ya nazi yanauzwa madukani ni ya kweli ? maana mimi nikitumia nazi tano napata mafuta kichupa kimoja wanachouza 1500 huwa najiuliza au sijui kutengeneza?Niitumiayo mimi yaitwa DREAM MATTE MOUSSE.
sio kwa baby care bora naziBe proud of ur own u knew...
Lipo mtaa wa nyamwezi na mkunguni,Twaiba liko wapi? Naomba unitajie jina au picha ya hiyo foundation dear
Mimi nazi 3 napata kichupa hicho, sasa 5 mmh isiwe unayaacha sana jikon mpaka yanakauka.shukrani ngoja niitafute dear ,hivi haya mnafuta ya nazi yanauzwa madukani ni ya kweli ? maana mimi nikitumia nazi tano napata mafuta kichupa kimoja wanachouza 1500 huwa najiuliza au sijui kutengeneza?
hapana labda size ya nazi? sasa yale ya madukani ni ya nazi kweli maana hayaendani na gharama ya uzalishajiMimi nazi 3 napata kichupa hicho, sasa 5 mmh isiwe unayaacha sana jikon mpaka yanakauka.
hata hyo nzuri sana product za south africa ni nzuri kweliVasseline lotion Aloe vera formula
Hili neno kuntu sana...mie hutengeneza kwaajili ya kachanga changu nashangaa napata mafuta kidogoo..wanayachakachua bana waleshukrani ngoja niitafute dear ,hivi haya mnafuta ya nazi yanauzwa madukani ni ya kweli ? maana mimi nikitumia nazi tano napata mafuta kichupa kimoja wanachouza 1500 huwa najiuliza au sijui kutengeneza?
Aaah yale ya madukan me hata siyaamin ndio mana situmii,hapana labda size ya nazi? sasa yale ya madukani ni ya nazi kweli maana hayaendani na gharama ya uzalishaji
Nazi tunakulaga hatupak..ila napenda mwanamke anukie mafuta ya nazisio kwa baby care bora nazi
sijui wanaweka nini wale ila kuchemsha tui jamani inatesa sio mchezo uzuri huu ??Hili neno kuntu sana...mie hutengeneza kwaajili ya kachanga changu nashangaa napata mafuta kidogoo..wanayachakachua bana wale