Unajipaka mafuta gani mwilini?

Unajipaka mafuta gani mwilini?

Basi foundation zile kavu ni nzuri,
Kama upo Dar nenda duka la Twaiba wanazo au maduka ya waarabu wanazo hizo nzuri sana.
nipe brand name maana kuna moja nilitumia nilipata chunusi sana halafu mac nyingi feki
 
Basi foundation zile kavu ni nzuri,
Kama upo Dar nenda duka la Twaiba wanazo au maduka ya waarabu wanazo hizo nzuri sana.
Twaiba liko wapi? Naomba unitajie jina au picha ya hiyo foundation dear
 
Lipo mtaa wa nyamwezi na mkunguni,
Yani hilo jengo lao laangaliana na soko kuu, k,koo.

Foundation niitumiayo ni DREAM MATTE MOUSSE, sina hakika kama wao wanayo. Ila foundation kavu za aina tofauti tofauti utazipata.
 
shukrani ngoja niitafute dear ,hivi haya mnafuta ya nazi yanauzwa madukani ni ya kweli ? maana mimi nikitumia nazi tano napata mafuta kichupa kimoja wanachouza 1500 huwa najiuliza au sijui kutengeneza?
Mimi nazi 3 napata kichupa hicho, sasa 5 mmh isiwe unayaacha sana jikon mpaka yanakauka.
 
hapana labda size ya nazi? sasa yale ya madukani ni ya nazi kweli maana hayaendani na gharama ya uzalishaji
 
shukrani ngoja niitafute dear ,hivi haya mnafuta ya nazi yanauzwa madukani ni ya kweli ? maana mimi nikitumia nazi tano napata mafuta kichupa kimoja wanachouza 1500 huwa najiuliza au sijui kutengeneza?
Hili neno kuntu sana...mie hutengeneza kwaajili ya kachanga changu nashangaa napata mafuta kidogoo..wanayachakachua bana wale
 
hapana labda size ya nazi? sasa yale ya madukani ni ya nazi kweli maana hayaendani na gharama ya uzalishaji
Aaah yale ya madukan me hata siyaamin ndio mana situmii,
Yani tuendelee hivi hivi kutengeneza wenyewe, kitu cha uhakika kama hivyo waweza kuongeza na vitu vingine kuweka nakshi basi akaah burudaaani kabisa.
 
Hili neno kuntu sana...mie hutengeneza kwaajili ya kachanga changu nashangaa napata mafuta kidogoo..wanayachakachua bana wale
sijui wanaweka nini wale ila kuchemsha tui jamani inatesa sio mchezo uzuri huu ??
 
Back
Top Bottom