Unajipaka mafuta gani mwilini?

jaribu igram
akupe igram ya kiume ya rangi ya blue. ogea na papaya soap .ila ule vizuri na unywe maji mengi .ngozi kuwa nzuri ni mlolongo wa mambo mengi sio mafuta tu
ubarikiwe mpenzi, nitajaribu kufanya hivyo
 
Natumia komoa aisee toka nikiwa kinda asa viselema vyake vzur sana
 
Miye proctex ile ya kijani, lotion Veerox( beauty balm)
 
Rockafeller lotion


Sent from my ccm 17 using jamii forums mobile apps
 
Usoni naogea sabuni inaitwa hemani(nina tatizo la chunusi) mwilini naogea asantee ya papaya, napaka mafuta ya olive oil ila wakati mwingine napaka baby Johnson pia kalotion ka bei rahisi ila katam kanaiwa dawn kanafanya tone inakuwa nzuri coz ni ya cocoa

Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
 
Zipo aina mbili hivyo nachagua nitumie ipi muda huo Clere Active for him(nourishing),Nivea ya Happy time
 
Mafuta ya nazi au Olive

Jamii Forums mobile app
 
Hivi hawa waarabu koko... wahindi na whites wengine ... huwa wanatumiaga mafuta gani... sabuni zipi na mafuta gani ya nyweele.... na perfume zipi...

Naona km tofauti kabisa na sisi

Sent from "La -Vista"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…