Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
- #221
jaribu igramna mimi nikipaka hayo mafuta yatanifaa kwel, maana nilipaka parachuti yakanikataa
akupe igram ya kiume ya rangi ya blue. ogea na papaya soap .ila ule vizuri na unywe maji mengi .ngozi kuwa nzuri ni mlolongo wa mambo mengi sio mafuta tu