Unajipaka mafuta gani mwilini?

Mafuta ya naz ni mazur kwa kulainisha ngoz kuna kipndnlikua napaka ikawa hat nikifua nguo kdg tu nachubuka kwa ulain wa ngoz.ila naomba anaejua kutengeneza castor oil home made anielekeze
 
Wale ninaowasikia wakinuka mkorogo wa congo, wako wapi?
 
Naogea daylan cocoa butter, napaka vaseline +mafuta ya nazi
 
Naogea sabuni ya magadi from kigoma.
Napaka babycare.
Hii sabuni naiogopa maisha ikiingia kwenye uchi inauma sana
 
shukrani ngoja niitafute dear ,hivi haya mnafuta ya nazi yanauzwa madukani ni ya kweli ? maana mimi nikitumia nazi tano napata mafuta kichupa kimoja wanachouza 1500 huwa najiuliza au sijui kutengeneza?
Nunua parachuti ni nazi pure ni elfu 10 unapaka hadi unasahau
 
Parachuti mafuta ya nazi
Cocoa butter palmas made in U.S lotion
Cocoa butter palmas jelly made in kenya
Nikiwa na elfu 45 napata vyote
 
Uyo kiboko inaelekea akikushika mkono tu kashakuachia duka la vipodoz maana utanukia mda wot
 
Mafuta ya naz ni mazur kwa kulainisha ngoz kuna kipndnlikua napaka ikawa hat nikifua nguo kdg tu nachubuka kwa ulain wa ngoz.ila naomba anaejua kutengeneza castor oil home made anielekeze
Andaa mbegu zilikomaa vizuri, zikaange hadi ziive baada ya hapo zitwange zikilainika vizuri ziweke kwenye sufuria weka maji kiasi acha zichemke mpaka utakapoona mafuta yanakuja juu
 
Uyo kiboko inaelekea akikushika mkono tu kashakuachia duka la vipodoz maana utanukia mda wot
Acha kabisa kaletewa na Ubani basi ndio taabu anauchoma chumbani kisha anausifia kha ati umetoka arabuni! wtf! Moshi moshi huwa sipendi hata kama Dawa ya mbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…