emmychaya76
Member
- Nov 30, 2017
- 31
- 31
Mafuta ya naz ni mazur kwa kulainisha ngoz kuna kipndnlikua napaka ikawa hat nikifua nguo kdg tu nachubuka kwa ulain wa ngoz.ila naomba anaejua kutengeneza castor oil home made anielekeze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo Carotone unachanganya na nn?Naogea kalambora napaka carotone body cream
Hii sabuni naiogopa maisha ikiingia kwenye uchi inauma sanaNaogea sabuni ya magadi from kigoma.
Napaka babycare.
Hebu wanaukumbi tushee hii kitu, hebu tuambizane. Je unatumia mafuta gani mwilini/lotion/cream? Unaogea sabuni gani?
Mimi kuanzia natumia lotion ya Ingram, naogea sabuni ya Pearl na mafuta ya nazi niliyotengeneza mwenyewe. Kila Jumapili natengeneza.
Matokeo nipo soft mpaka najitamani.
Wewe je?
NB: Natafuta foundation nzuri sijapata naombeni idea
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hii sabuni naiogopa maisha ikiingia kwenye uchi inauma sana
Nunua parachuti ni nazi pure ni elfu 10 unapaka hadi unasahaushukrani ngoja niitafute dear ,hivi haya mnafuta ya nazi yanauzwa madukani ni ya kweli ? maana mimi nikitumia nazi tano napata mafuta kichupa kimoja wanachouza 1500 huwa najiuliza au sijui kutengeneza?
Uyo kiboko inaelekea akikushika mkono tu kashakuachia duka la vipodoz maana utanukia mda wotMakemiko si safi kupaka mwilini Osha mwili wako vizuri hutonuka.... na wakati mwingine manukato yanakera sana kuyasikia pua huumia... Na demu Mwarabu namkataza lakini Haachi.. yaani full Mafuta body spray,Deodorant Perfume and then anamalizia na udi khah!
Maybe me sipendi Marashi sababu Mwili wangu tu.
Andaa mbegu zilikomaa vizuri, zikaange hadi ziive baada ya hapo zitwange zikilainika vizuri ziweke kwenye sufuria weka maji kiasi acha zichemke mpaka utakapoona mafuta yanakuja juuMafuta ya naz ni mazur kwa kulainisha ngoz kuna kipndnlikua napaka ikawa hat nikifua nguo kdg tu nachubuka kwa ulain wa ngoz.ila naomba anaejua kutengeneza castor oil home made anielekeze
Acha kabisa kaletewa na Ubani basi ndio taabu anauchoma chumbani kisha anausifia kha ati umetoka arabuni! wtf! Moshi moshi huwa sipendi hata kama Dawa ya mbuUyo kiboko inaelekea akikushika mkono tu kashakuachia duka la vipodoz maana utanukia mda wot