Unajipaka mafuta gani mwilini?

Duuh! Una "aleji" kama mimi nini?

Me pia natumia sabuni hizo kama nikibadili ni dettol, kinyume na hapo ni majanga.

Mafuta ya nazi (nitangeneza mwenyewe, naweka na karafuu+mdalasini+hiliki)
Hiliki unaichanganyaje kwenye mafuta
 
Mafuta napaka madame na mafuta yanazi ila soap yoyote to sichagui🍃
 
Vipi yale mafuta kama American Dream, wix n.k? Watu wanayasifia lakini mimi nikipaka yananifanya nakuwa mweupe zaidi kitu ambacho sipendi
 
Nikuone basi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…