Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Awa jama hawajawai niangusha kabisaBidhaa za Nivea nadhani ni nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awa jama hawajawai niangusha kabisaBidhaa za Nivea nadhani ni nzuri
BahahahahahahaNaogea magwanji najipaka mafuta ya kula
Hio ni kwa boys au girls kaka?
Mimi mwanaume lakini napaka,haya ni kwa jinsia zoteHio ni kwa boys au girls kaka?
Hiliki unaichanganyaje kwenye mafutaDuuh! Una "aleji" kama mimi nini?
Me pia natumia sabuni hizo kama nikibadili ni dettol, kinyume na hapo ni majanga.
Mafuta ya nazi (nitangeneza mwenyewe, naweka na karafuu+mdalasini+hiliki)
Hebu wanaukumbi tushee hii kitu, hebu tuambizane. Je unatumia mafuta gani mwilini/lotion/cream? Unaogea sabuni gani?
Mimi kuanzia natumia lotion ya Ingram, naogea sabuni ya Pearl na mafuta ya nazi niliyotengeneza mwenyewe. Kila Jumapili natengeneza.
Matokeo nipo soft mpaka najitamani.
Wewe je?
NB: Natafuta foundation nzuri sijapata naombeni idea
Yanaitwaj na bei yke ipoj
Nikuone basi mkuuHebu wanaukumbi tushee hii kitu, hebu tuambizane. Je unatumia mafuta gani mwilini/lotion/cream? Unaogea sabuni gani?
Mimi kuanzia natumia lotion ya Ingram, naogea sabuni ya Pearl na mafuta ya nazi niliyotengeneza mwenyewe. Kila Jumapili natengeneza.
Matokeo nipo soft mpaka najitamani.
Wewe je?
NB: Natafuta foundation nzuri sijapata naombeni idea
Carotene ni mkorogo feki.utakuchana ngozihiyo carotone itanifaa mimi mweusi, na je nikijipaka haitanibadilisha rangi ?
Nivea