Unajipaka mafuta gani mwilini?


Asante kwa somo
 
ya nazi
 
Sabuni naogea yeyote nayokutana nayo,kuhusu mafuta sina historia ya kupaka mafuta
 
mafuta ya nazi huwa unayawekeaje hvo vikorobwezo dear? mimi nayatumia tu hivohivo
Mm naweka maua ya asumini yaliokwisha kauka, basi mafuta yanakuwa na manukato mazuuri. Huyo wa mdalasini na hiliki atakuwa ananukia kama pilau sasa.
 
Natumia nivea cool kick for men ingawa me in ke, na sabun ya deto.
 
Napaka mafuta ya nazi minara naogea sabuni ya ozona vimenisaidia uso angalau kua vizuri. Nina wiki mbili toka nianze kuvitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…