Unajipaka mafuta gani mwilini?

wee ni noma .sabuni unatengenezaje mkuu?
 
tufundishane namna ya kutengeneza mafuta ya nazi na sabuni za kuogea nyumbani wakuu
njoo kwangu jumapili uone navopika mi mvivu kuandika mambo marefu ila soma kuna sehemu huku tulieleza
 
Natumia mafuta ya Mchai chai,olive oil au ya naz,sabuni sina complication yoyote ntakayoikuta kwenye kopo la kuogea kikubwa niwe nimejiridhishs tuu kuwsa ni salama! ila mafuta ya mchai chai ni kwere unakua mwororo mpaka unashangaa,alafu hakuna mbu anayekusogelea! pia hata mafuta ya nazi ni mazuri sana ni kweli yanalainisha sana,
 
mchai chai unatoaje mafuta mkuu? majani au ?
 
shukrani ngoja niitafute dear ,hivi haya mnafuta ya nazi yanauzwa madukani ni ya kweli ? maana mimi nikitumia nazi tano napata mafuta kichupa kimoja wanachouza 1500 huwa najiuliza au sijui kutengeneza?
hayako real,ukitaka mafuta real ya nazi kanunue kwenye maduka ya asili yenyewe yanakuwa mazito na meupe,ni kama cream fulani,aisee unakua mwororo hata chura wa majini hatii mguu
 
hayako real,ukitaka mafuta real ya nazi kanunue kwenye maduka ya asili yenyewe yanakuwa mazito na meupe,ni kama cream fulani,aisee unakua mwororo hata chura wa majini hatii mguu
kweli mkuu haya ya dukani hata hayagandi eti
 
mchai chai unatoaje mafuta mkuu? majani au ?
yapo mkuu yanauzwa buku mbili tuu yanatoka zenj,yako poa sana,kwanza yanalainisha sana alafu ni moja ya mosquito repellent ya ukweli sana,pia yapo ya ndimu ingawa hayo sijawahi tumia
 
kweli mkuu haya ya dukani hata hayagandi eti
Hayo sio,mimi naendaga duka moja la asili,mpaka castro oil(mafuta ya nyonyo) unayapata yakiwa poa kabisa,na ukitaka kuamini kama yako natural,you can also drink them bila kuzurika
 
Hayo sio,mimi naendaga duka moja la asili,mpaka castro oil(mafuta ya nyonyo) unayapata yakiwa poa kabisa,na ukitaka kuamini kama yako natural,you can also drink them bila kuzurika
poa mkuu castrol oil inasafisha tumbo unaharisha kila zagazaga huwa nakunywa sana nikijiona sipo ok?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…