Unajisifu umeoa huku unafanya uzinzi sasa ndiyo nini?

Unajisifu umeoa huku unafanya uzinzi sasa ndiyo nini?

Yea yeah you right..watu wanapigwa matukio ndoani kiasi cha kutaka kutoana roho…sema kuimba kupokezana mtu ukipigwa tukio na wewe piga tukio inaitwa mbwa kala mbwa[emoji28]
 
Kuna hili kundi la watu wanadai wame-oa wengine wameolewa , lakini wako na michipuko kibao Uzinzi , kibao , sasa mmeoa Nini?

Ni vituko tu huko Ndoani kila Mtu anajaribu kuonesha uchafu wake. Watu wamechoka hatari wamepoteza Nuru

Ni watu wachache ndo wana-Enjoy Ndoa wengi wao uchafu na kuleteana Umeme
Kuna fala mmoja ana kazi nzuri haoi anatumia hoja dhaifu sana eti mbona walioa wanachepuka sasa kuna haja gani ya kuoa, na anapenda kitonga ya kutoka na wake za watu. Kuna mijitu Ina akili za kimbuzi sana, mpaka leo hana demu, mpenzi wala formal relationship yoyote open kazi ni kuvizia wake za watu tu.

Imagine mwanaume hana demu open hata mmoja wa kuzugia ambae jamii inamuona nae hata kutoka nae out.
 
Mtoa mada umesema hujao
Basi huna mamlaka ya kuyazungumzia ya waliooa/walio kwenye ndoa.

Vinginevyo Uzi wako ulipaswa kuuleta mfumo wa swali, ili uelekezwe vzur[emoji4]
 
Mtoa mada umesema hujao
Basi huna mamlaka ya kuyazungumzia ya waliooa/walio kwenye ndoa.

Vinginevyo Uzi wako ulipaswa kuuleta mfumo wa swali, ili uelekezwe vzur[emoji4]
Baba J 😟
 
Back
Top Bottom