Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

Kheee angalau kwenye hili nimeokoka hakuna ninachofanya hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe yana bei hvyo! Mi nlijua ni ktu kidichozidi 30k. Swali, je unalitambuaje kuwa hili ni la 500k?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa najisikia vibaya sana..!! Ila pia inategemea na quality ya wigi lenyewe, mfano ona hawa, wanavutia kidogo

 
Mkuu wavaaji wenyewe hata hawasemi kituhumu natumai bado hawajausoma huu uzi


mimi sio kosa km mtu anajiona ana nywele mbaya au hazipo mwonekano mzuri acha afix kwa wig..mm wig limenishinda..ila nilikua nalo nikagawa...wig ni km mtu mfupi km mie avae highheels apande kidg..mbona easy tu jaman...!itafika kipindi wabana pony tails tutasemwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…