Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

Dah! Nywele ngumu kama katani! Dah! Inabidi uwe na kipindi kabisa mama, ili wenye nywele za kikatani waelimike.

Dah! Halafu kama picha inanijia hivi kama nazijua nywele za kikatani. Ila siyo mbaya uki' drop ka picha.
Picha tena [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafikiri! Napenda wenye nywele ndefu. Wahenga wanasema ukimpata mwanamke mwenye nywele ndefu ukazikamata hivi halafu ukazinusa... Mhhhh...haaa!

Utasema nafwaaa! Unaweza ukajikuta umezibusu pasipo kujua.

Ila awe mwanamke unayemmiliki kihali. Aaahh! Peponi bila kifo nakwambia. Yaani pepo ileeee unaiona.
 
Kumbe yana bei hvyo! Mi nlijua ni ktu kidichozidi 30k. Swali, je unalitambuaje kuwa hili ni la 500k?

Sent using Jamii Forums mobile app

Lol, Mimi mwenyewe sio mjuzi wa mawigi maana sijawahi kuvaa wala kununua, ila nilisoma post huko Insta kwa Dada wa Taifa alikua anajisifia yy anavaa wigi original ambalo ni nywele ya mtu 100% kisha inatengezwa wigi, na thamani yake ni kubwa, alikua anawacheka mastaa wa TZ wanaovaa mawigi feki ya kichina ambayo sio chini ya laki 1,2,3 kwa research ya duka wanalonunulia nywele. Hahaaa Mkuu 30k ni ndogo mnooo hilo wigi si litakua gumu kama Brashi ya chachandu 😂😂
 
Unafikiri! Napenda wenye nywele ndefu. Wahenga wanasema ukimpata mwanamke mwenye nywele ndefu ukazikamata hivi halafu ukazinusa... Mhhhh...haaa!

Utasema nafwaaa! Unaweza ukajikuta umezibusu pasipo kujua.

Ila awe mwanamke unayemmiliki kihali. Aaahh! Peponi bila kifo nakwambia. Yaani pepo ileeee unaiona.

zinaleta msisimko na cocacola🤗
 
Ila wanaume bwana unamkataza mke wako kuvaa wigi kwa kigezo cha wewe kutokuyapenda ila unawafata wanawake wanaovaa mawigi as michepuko yako. The same kwa kucha za bandia kope na makeup. Mko na nini nyinyi wababa?
 
Wamekua brainwashed kwamba wanawake wenye nywele refu na laini ndio wazuri na wao wenye nywele ngumu za kipipili sio wazuri, mwanamke anapaswa kujiamini na kujikubali jinsi Mungu alivomuumba, kama mzuri ni mzuri tu, unaweza vaa wigi original la laki 5 na bado usivutie.
Unadhani sio kweli? Ukiwa na nywele ndefu na laini ni nzuri. Kipilipili sio kizuri.
 
Ila wanaume bwana unamkataza mke wako kuvaa wigi kwa kigezo cha wewe kutokuyapenda ila unawafata wanawake wanaovaa mawigi as michepuko yako. The same kwa kucha za bandia kope na makeup. Mko na nini nyinyi wababa?
Kwanza huwezi mzuia mwanamke kujiremba.

Mtagombana. Umwambie mwanamke wa makeup asipake aheri akuache.
 
Back
Top Bottom