Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Ndio kichwa chako maji kilivyowaza!acha kuangalia Xxx na makalio unapoenda sehemu zenye watoto basi uwe unazifuta ukiondoka unazirudsha tena kwenye recycle bin
Naangalia nao, niko kwa watoto, nitaangalia vipi mambo ya kuwakwaza?!Ningependa kujua na nyinyi wenzangu mnajiskiaje pale mnapokua mkifanya mambo yenu kwenye simu au PC kisha akatokea mtoto/watoto na wao wakaanza kuangalia unachofanya?
Binafsi huwa nina kawaida ya kwenda kusalimia ndugu ninapopata muda na huwa nakutana sana na hii changamoto hasa ukizingatia watoto hawaepukiki. Sasa naweza nikawa nachezea simu yangu aidha kwa kuzunguka kwenye gallery, chats au kuperuzi mitandaoni.. au naweza nikafungua PC kwa kutizama tu movie/series HALAFU atokee mtoto/watoto nao wakaja hapo hapo, basi nakuwa sina amani tena, bila ya kujali maudhui ninayoangalia kama ni mazuri au mabaya.
Hii imekaaje kwa upande wenu ndugu zangu?
Lucky me i don't have a child.... Huwa situmii cm yang sehem ya watotoNingependa kujua na nyinyi wenzangu mnajiskiaje pale mnapokua mkifanya mambo yenu kwenye simu au PC kisha akatokea mtoto/watoto na wao wakaanza kuangalia unachofanya?