Unajiuliza huyu Mafwele anajikuta nani hadi anajitamba kukamata JWTZ?

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Unajiuliza huyu mafwele anijikuta nani hadi anajitamba kukamata JWTZ hizi ni dharau.

Eneo la makazi ya watu sio eneo la matangazo hatuwezi kusema kubandika matangazo kwenye nyumba za watu badala ya maeneo husika ni kosa.

inamaana mgombea wa uraisi hana hela za kutengeneza matangazo kwenye mabango mpaka kwenye nyumba za watu ?

JWTZ linapaswa kuchukua hatua kuhisiana na suala hili.
 
Dharau za mafwele kwa JWTZ zinatokana na kina abdul

Makazi ya watu sio sehemu za matangazo kukamatwa kwa JWTZ kuna dhalilisha jeshi hilo hatuwezi kusema kila eneo liwe ni la kubandika bandika matangazo.

nia ya mafwele ni kuliabisha jeshi la JWTZ makusudi kwa viji sababu visivyokuwa na kichwa wala miguu
 
Beneath the hush, tides turn without trumpet. Tomorrow may fold the long shadow into daylight, as silent troops not of war, but of reckoning step soft.
Kinatawala listen when the dawn asks
for account and in gentle light, the
age of unchecked rule begins to fade.
 
Unajiuliza huyu mafwele anijikuta nani hadi anajitamba kukamata JWTZ hizi ni dharau.

Eneo la makazi ya watu sio eneo la matangazo hatuwezi kusema kubandika matangazo kwenye nyumba za watu badala ya maeneo husika ni kosa.

inamaana mgombea wa uraisi hana hela za kutengeneza matangazo kwenye mabango mpaka kwenye nyumba za watu ?

JWTZ linapaswa kuchukua hatua kuhisiana na suala hili.
Hao wanajeshi hawajitambui.....period
 
wananchi watalipuka sana kama kule Sirari siku wakiwaona JWTZ inawapa kichapo hawa akina Mafwele. Na ndicho watu wengi humu wanachotaka, mkwara kama wa capt.Tesha 🙂
 
Unajiuliza huyu mafwele anijikuta nani hadi anajitamba kukamata JWTZ hizi ni dharau.

Eneo la makazi ya watu sio eneo la matangazo hatuwezi kusema kubandika matangazo kwenye nyumba za watu badala ya maeneo husika ni kosa.

inamaana mgombea wa uraisi hana hela za kutengeneza matangazo kwenye mabango mpaka kwenye nyumba za watu ?

JWTZ linapaswa kuchukua hatua kuhisiana na suala hili.
Inasemekana jamaa ana mafunzo ya hali ya juu sana, hatajeshi wanamgwaya.
Wanajeshi wa zamani wangeshatinga pale Chang'ombe kutoa wenzao ila hawa qa sasa wakishasikia Kingai na Mafwele hata Kambini hawatoki
 
Dharau za mafwele kwa JWTZ zinatokana na kina abdul

Makazi ya watu sio sehemu za matangazo kukamatwa kwa JWTZ kuna dhalilisha jeshi hilo hatuwezi kusema kila eneo liwe ni la kubandika bandika matangazo.

nia ya mafwele ni kuliabisha jeshi la JWTZ makusudi kwa viji sababu visivyokuwa na kichwa wala miguu
This translates that Abdul ana nguvu zaidi ya CDF na jeshi lake lote, Mkurugenzi wa TISS, IGP na polisi wote pamoja raia wote wa TZ.
 
Unajiuliza huyu mafwele anijikuta nani hadi anajitamba kukamata JWTZ hizi ni dharau.

Eneo la makazi ya watu sio eneo la matangazo hatuwezi kusema kubandika matangazo kwenye nyumba za watu badala ya maeneo husika ni kosa.

inamaana mgombea wa uraisi hana hela za kutengeneza matangazo kwenye mabango mpaka kwenye nyumba za watu ?

JWTZ linapaswa kuchukua hatua kuhisiana na suala hili.
Jamaa aliye record kafanya kazi nzuri sana na tukufu ...sasa hivi hao wahuni na wahalifu huyo mafwele na igp wamechanganyikiwa kwa hiyo record 😁
 
Inasemekana jamaa ana mafunzo ya hali ya juu sana, hatajeshi wanamgwaya.
Wanajeshi wa zamani wangeshatinga pale Chang'ombe kutoa wenzao ila hawa qa sasa wakishasikia Kingai na Mafwele hata Kambini hawatoki
Mafunzo yaani wana uwezo wa kurusha Ndege ya kivita juu angani kukokota Meli za kivita baharini wanajua kucheza na silaha zote za kivita Ardhini? Emu tupumzishana kidogo ni nidhamu tu na uvumilivu kinyume chake tungekua tunaongea mengine muda huu
 
Kwa nchi nyingine sasa hivi hata huyo aliyemteua Mafwele angekuwa anatueleza ilikuwaje akamteua mtu mjinga na asiyekuwa na waledi hata kidogo kwenye hiyo nafasi ya ZCO.

Kwa hiyo audio inatosha kabisa kutuonesha vyombo vyetu vya usalama vinaongozwa na majangiri ambayo yanastahili kuwa jela na sio kupigiwa salute
 
Inasemekana jamaa ana mafunzo ya hali ya juu sana, hatajeshi wanamgwaya.
Wanajeshi wa zamani wangeshatinga pale Chang'ombe kutoa wenzao ila hawa qa sasa wakishasikia Kingai na Mafwele hata Kambini hawatoki

Anajiona ka mungu wa tanzania ila inasikitisha sana mtu mmoja ndo atishe watu karibia milioni 70 hata jwtz wanamuangalia kupitia bainokila hawataki kusogea sehemu alipo
 
Mie ndio wangejichanganya kuja kubandika huo upupi wao kwenye hii kibanda changu cha nyasi cha urithi wangejuta
Huenda wasingeniteka wangeniuwa pale pale maana mie sio kubanduka, nikifika ni kata funua kwa anaebandika kisha namkata sikio ma mae
 
This translates that Abdul ana nguvu zaidi ya CDF na jeshi lake lote, Mkurugenzi wa TISS, IGP na polisi wote pamoja raia wote wa TZ.
Hao wote wameshawekea mizigo yao kwenye akaunti, na mingine usikute walipelekewa majumbani kwao ikiwa kwenye mabegi! Watafanya nini? Hao wote ni wanufaika wa mfumo mbovu ndani ya nchi.
Watu wa kati na wale wa chini ndiyo wanaoweza kuleta mabadiliko kwenye hii nchi. Ila siyo hao watu wa juu.
 
This was one day before the mass killings
 
Back
Top Bottom