Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Hao wanajeshi hawajitambui.....periodUnajiuliza huyu mafwele anijikuta nani hadi anajitamba kukamata JWTZ hizi ni dharau.
Eneo la makazi ya watu sio eneo la matangazo hatuwezi kusema kubandika matangazo kwenye nyumba za watu badala ya maeneo husika ni kosa.
inamaana mgombea wa uraisi hana hela za kutengeneza matangazo kwenye mabango mpaka kwenye nyumba za watu ?
JWTZ linapaswa kuchukua hatua kuhisiana na suala hili.
Inasemekana jamaa ana mafunzo ya hali ya juu sana, hatajeshi wanamgwaya.Unajiuliza huyu mafwele anijikuta nani hadi anajitamba kukamata JWTZ hizi ni dharau.
Eneo la makazi ya watu sio eneo la matangazo hatuwezi kusema kubandika matangazo kwenye nyumba za watu badala ya maeneo husika ni kosa.
inamaana mgombea wa uraisi hana hela za kutengeneza matangazo kwenye mabango mpaka kwenye nyumba za watu ?
JWTZ linapaswa kuchukua hatua kuhisiana na suala hili.
This translates that Abdul ana nguvu zaidi ya CDF na jeshi lake lote, Mkurugenzi wa TISS, IGP na polisi wote pamoja raia wote wa TZ.Dharau za mafwele kwa JWTZ zinatokana na kina abdul
Makazi ya watu sio sehemu za matangazo kukamatwa kwa JWTZ kuna dhalilisha jeshi hilo hatuwezi kusema kila eneo liwe ni la kubandika bandika matangazo.
nia ya mafwele ni kuliabisha jeshi la JWTZ makusudi kwa viji sababu visivyokuwa na kichwa wala miguu
Jamaa aliye record kafanya kazi nzuri sana na tukufu ...sasa hivi hao wahuni na wahalifu huyo mafwele na igp wamechanganyikiwa kwa hiyo record 😁Unajiuliza huyu mafwele anijikuta nani hadi anajitamba kukamata JWTZ hizi ni dharau.
Eneo la makazi ya watu sio eneo la matangazo hatuwezi kusema kubandika matangazo kwenye nyumba za watu badala ya maeneo husika ni kosa.
inamaana mgombea wa uraisi hana hela za kutengeneza matangazo kwenye mabango mpaka kwenye nyumba za watu ?
JWTZ linapaswa kuchukua hatua kuhisiana na suala hili.
Mafunzo yaani wana uwezo wa kurusha Ndege ya kivita juu angani kukokota Meli za kivita baharini wanajua kucheza na silaha zote za kivita Ardhini? Emu tupumzishana kidogo ni nidhamu tu na uvumilivu kinyume chake tungekua tunaongea mengine muda huuInasemekana jamaa ana mafunzo ya hali ya juu sana, hatajeshi wanamgwaya.
Wanajeshi wa zamani wangeshatinga pale Chang'ombe kutoa wenzao ila hawa qa sasa wakishasikia Kingai na Mafwele hata Kambini hawatoki
ChaiInasemekana jamaa ana mafunzo ya hali ya juu sana, hatajeshi wanamgwaya.
Wanajeshi wa zamani wangeshatinga pale Chang'ombe kutoa wenzao ila hawa qa sasa wakishasikia Kingai na Mafwele hata Kambini hawatoki
Inasemekana jamaa ana mafunzo ya hali ya juu sana, hatajeshi wanamgwaya.
Wanajeshi wa zamani wangeshatinga pale Chang'ombe kutoa wenzao ila hawa qa sasa wakishasikia Kingai na Mafwele hata Kambini hawatoki
Hao wote wameshawekea mizigo yao kwenye akaunti, na mingine usikute walipelekewa majumbani kwao ikiwa kwenye mabegi! Watafanya nini? Hao wote ni wanufaika wa mfumo mbovu ndani ya nchi.This translates that Abdul ana nguvu zaidi ya CDF na jeshi lake lote, Mkurugenzi wa TISS, IGP na polisi wote pamoja raia wote wa TZ.
Mie ndio wangejichanganya kuja kubandika huo upupi wao kwenye hii kibanda changu cha nyasi cha urithi wangejuta
Huenda wasingeniteka wangeniuwa pale pale maana mie sio kubanduka, nikifika ni kata funua kwa anaebandika kisha namkata sikio ma mae