Schoolface
Senior Member
- May 7, 2021
- 147
- 150
Lunatic
Hakuna royal ya 30000 acha uongo na sifa za kijingaRoyal bundle mwezi 30,000.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kila mahali ni vilio, kila mtandao unahitaji kushinda mechi zake, watumiaji hatuna hata nafasi ya kutoa sare
Mara ya mwisho umejiunga lini?Mi bando najiunga kupitia halotel,halotel ndio mtandao nafuu kwangu,huwa napata gb 3 kwa sh 3000 wiki nzima.
Ttcl,bando tamu tamuTujuze bando gani unalojiunga kwasasa maana hali imekuwa mbaya? Itapendeza ukitaja na mtandao husika!!
Halotel 4G hiyo elfu 20 unapata GB 20 saafiiiYamenikuta Leo wakati najiunga TIGO. Mnunulie rafiki yako , elf 20 wameandika utapata 10GB kwa mwezi. Nimejitosa kununua nimeambulia kupata 6.5GB kwa mwezi.
Najuta kwa haya maamuzi niliyoyafanya
Hii ipo kwenye menu ipi?Buku napata 100dk mitandao yote na 1GB siku 3.
Kiroho safi tigo hao..
5days not weekMe tayari nishawahama nimerudi nyumbani Ttcl TamTam buku 1.2GB kwa week
Mwenyewe nilishafikiria kuanza kujidhibiti na mitandao nishaanza kuwa addicted yaani nikishika simu napoteza masaa mengi, Kuna muda natumia cm siiachi hadi chaji ikate au bando liishe hii hatari sana.Daily jero MB 250. Sio sina hela ila najaribu kujidhibiti mwenyewe maana social media siku hizi unaweza kuwa mwehu usifanye hata mambo mengine. Unless nina attend zoom meeting, google meet au any important thing sikoki zaidi ya hapo
Unamaliza wiki hizo gb ,Mimi siku mbili nimezid Sana 3 poor me 😩Mega bando by halopesa TSH 1000 GB 1 dakika 10 wiki nzima.
Wiki itafikaje wakati kuna mzee baba yutubu hapo bado sijataka pilau! Hizi mb ndogondogo ndo zitatupeleka motoni..Unamaliza wiki hizo gb ,Mimi siku mbili nimezid Sana 3 poor me 😩
Nimejiunga Jana tu,jaribu halotel ndugu yangu Yani utafirahia huduma zao pia mtandao siku hizi upo vizuri kasi nzuri mno.Mara ya mwisho umejiunga lini?
Hii ipo kupitia halopesaMara ya mwisho umejiunga lini?