Unajiunga na kifurushi gani kwasasa?

Unajiunga na kifurushi gani kwasasa?

Royal bundle mwezi 30,000.
Lunatic
emoji2957.png
emoji2957.png
emoji2957.png
Royal bundle mwezi 30,000.



Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Hakuna royal ya 30000 acha uongo na sifa za kijinga
 
Buku napata 100dk mitandao yote na 1GB siku 3.
Kiroho safi tigo hao..
 
Yamenikuta Leo wakati najiunga TIGO. Mnunulie rafiki yako , elf 20 wameandika utapata 10GB kwa mwezi. Nimejitosa kununua nimeambulia kupata 6.5GB kwa mwezi.
Najuta kwa haya maamuzi niliyoyafanya
Halotel 4G hiyo elfu 20 unapata GB 20 saafiii
 
Daily jero MB 250. Sio sina hela ila najaribu kujidhibiti mwenyewe maana social media siku hizi unaweza kuwa mwehu usifanye hata mambo mengine. Unless nina attend zoom meeting, google meet au any important thing sikoki zaidi ya hapo
Mwenyewe nilishafikiria kuanza kujidhibiti na mitandao nishaanza kuwa addicted yaani nikishika simu napoteza masaa mengi, Kuna muda natumia cm siiachi hadi chaji ikate au bando liishe hii hatari sana.
 
Halotel mega bando 1000, 1GB kwa wiki
 
Halotel, ttcl na Zantel hawa watu wana unafuu sana ukiacha voda, tigo na airtel
 
Unamaliza wiki hizo gb ,Mimi siku mbili nimezid Sana 3 poor me 😩
Wiki itafikaje wakati kuna mzee baba yutubu hapo bado sijataka pilau! Hizi mb ndogondogo ndo zitatupeleka motoni..
 
2000 GB 1.....…siku 7..voda,sielewagi natumiaje[emoji3]siku 3 zaisha
 
Back
Top Bottom