Unajiunga na kifurushi gani kwasasa?

1. Cheka kwa mwezi 10,000/= DK1100 + SMS200
2. Internet kwa mwezi 50,000/= GB50
3. SMS kwa mwezi 2000/= sms 100000

Jumla 62,000/= kila mwezi...
Vodacom.
 
Wiki itafikaje wakati kuna mzee baba yutubu hapo bado sijataka pilau! Hizi mb ndogondogo ndo zitatupeleka motoni..
😆😆 Sasa mm YouTube ndio mtandao unakula mb zangu kukiko yote Kama watu wanavyoshinda insta Basi mm mda mwingu nipo U-tube...pilau nawashukuru Sana serikali kuzifungia ilikuwa inashika namba2😆😆😆 kwenye simu yangu kabla ya pirau kufungiwa App data usage you tube na UC browser (browser ya mauaji😆) ndio zilikuwa zinakimbiza .
 
Voda tsh 5000 napata 3gb kwa siku 7. Nikijitahidi sana zinakaa siku 3-4
 
Mega bando by halopesa TSH 1000 GB 1 dakika 10 wiki nzima.
Hawa halotel nimesha wabamba sasa hivi naweka kile kifurushi cha wiki cha GB 25 kwa elfu 15. Hivyo kwa mwezi najipatia GB 100 kwa 60K

Ila chakushangaza mda mwingine hata simalizi series kwa GB 25[emoji23]
 
Mkuu unamatumizi gani duh!
 
Nimesoma comments zote, sasa nadhani ni muda mwafaka wa mimi kuhamia halotel. Nasajiri line leo leo😂😂😂
mkuu shida ya halotel ni speed inategemea unaishi wapi, kuna sehemu speed kama yooooote kuna sehemu speed konokooooono
 
mkuu shida ya halotel ni speed inategemea unaishi wapi, kuna sehemu speed kama yooooote kuna sehemu speed konokooooono
Lkn nahsi haya mabadiliko yatagusa kila mtandao ata huo halotel watageuza tu
 
Voda buku tatu gb 3 kwa 3 kwa week Ni mserereko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…