wegman
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,468
- 2,090
Nahisi siku sio nyingi watabadilisha menu yao.Wanakupendelea sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi siku sio nyingi watabadilisha menu yao.Wanakupendelea sana
Voda haooookwa nimejiunga jana kwa Tsh50,000 nikapata 50GB
Shida iko wapi?..Iko poa tatizo inapatikana kupitia T pesa tu
Watakubadilishia,hivi ni kwanini wanabadilisha,mie nikifululiza sana kujiunga wananipandishia bei.View attachment 1959930
Hawa Voda, Nahisi siku sio nyingi nao watabadilisha.
Hiyo ni kutokana na wewe unavyotumia line yako ndio wanakupangia vifurushi.Hii ipo kwenye menu ipi?
😆😆 Sasa mm YouTube ndio mtandao unakula mb zangu kukiko yote Kama watu wanavyoshinda insta Basi mm mda mwingu nipo U-tube...pilau nawashukuru Sana serikali kuzifungia ilikuwa inashika namba2😆😆😆 kwenye simu yangu kabla ya pirau kufungiwa App data usage you tube na UC browser (browser ya mauaji😆) ndio zilikuwa zinakimbiza .Wiki itafikaje wakati kuna mzee baba yutubu hapo bado sijataka pilau! Hizi mb ndogondogo ndo zitatupeleka motoni..
Sms 36,000! Nitajiunga sasa hivi, hii nitaitumia kama fursa.
Hahahh warumi inafany kaziTigo, buku 2 GB 1 kwa wiki
Inakaa siku tatu tu.
Tigo, buku 2 GB 1 kwa wiki
Inakaa siku tatu tu.
Wanyonyaji hawa utawaweza basi.Watakubadilishia,hivi ni kwanini wanabadilisha,mie nikifululiza sana kujiunga wananipandishia bei.
Hawa halotel nimesha wabamba sasa hivi naweka kile kifurushi cha wiki cha GB 25 kwa elfu 15. Hivyo kwa mwezi najipatia GB 100 kwa 60KMega bando by halopesa TSH 1000 GB 1 dakika 10 wiki nzima.
Mkuu unamatumizi gani duh!Hawa halotel nimesha wabamba sasa hivi naweka kile kifurushi cha wiki cha GB 25 kwa elfu 15. Hivyo kwa mwezi najipatia GB 100 kwa 60K
Ila chakushangaza mda mwingine hata simalizi series kwa GB 25[emoji23]
mkuu shida ya halotel ni speed inategemea unaishi wapi, kuna sehemu speed kama yooooote kuna sehemu speed konokooooonoNimesoma comments zote, sasa nadhani ni muda mwafaka wa mimi kuhamia halotel. Nasajiri line leo leo😂😂😂
Lkn nahsi haya mabadiliko yatagusa kila mtandao ata huo halotel watageuza tumkuu shida ya halotel ni speed inategemea unaishi wapi, kuna sehemu speed kama yooooote kuna sehemu speed konokooooono