Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
sasa mkuu kila siku jero,Daily jero MB 250. Sio sina hela ila najaribu kujidhibiti mwenyewe maana social media siku hizi unaweza kuwa mwehu usifanye hata mambo mengine. Unless nina attend zoom meeting, google meet au any important thing sikoki zaidi ya hapo
Hata ukihama hakuna kwa kukimbilia, kwenye nafuu, hata zanzibar hali ndiyo hiyohiyo.smatika airtel wamepunguza ilikua gb 2 siku 3 saivi 1.5 nawahama sasaivi
No kwenye kutumia nikiweka cha wiki natumia siku moja au mbili...cha jero kikiisha basi unless nina ishu ya lazima ndo ntaunga zaidi ila sio for social media browsingsasa mkuu kila siku jero,
Mbona itakuwa hakuna tofauti na ukijiunga kifurushi cha Week labda 2k mbona kote sawa.?
halotel marketing strategy yao ni kutopandiisha saaaana bei za huduma zao, maana quality ya huduma zao nayo si nzuri kiviile so hata wakipandisha usitegemee bei kuja kuwa kama voda au tigo. Maana wanajua wakipandisha bei watakimbiwa tu na wateja.Lkn nahsi haya mabadiliko yatagusa kila mtandao ata huo halotel watageuza tu
Movies mkuu hapa nafikilia kununua li simu la , ezani la ttcl nasikia wanna unlimited internet kwa 60k kwa mweziMkuu unamatumizi gani duh!
Tujuze bando gani unalojiunga kwasasa maana hali imekuwa mbaya? Itapendeza ukitaja na mtandao husika!!
Aisee hapana nakupinga labda eneo ulipo mbona Ina kasi ya kawaida tuuHalotel wanakuacha utumie 200mb kwa spidi baada ya hapo spidi inasuasua kina kitu wanafanya hawa