Unajiunga na kifurushi gani kwasasa?

Unajiunga na kifurushi gani kwasasa?

Daily jero MB 250. Sio sina hela ila najaribu kujidhibiti mwenyewe maana social media siku hizi unaweza kuwa mwehu usifanye hata mambo mengine. Unless nina attend zoom meeting, google meet au any important thing sikoki zaidi ya hapo
sasa mkuu kila siku jero,
Mbona itakuwa hakuna tofauti na ukijiunga kifurushi cha Week labda 2k mbona kote sawa.?
 
sasa mkuu kila siku jero,
Mbona itakuwa hakuna tofauti na ukijiunga kifurushi cha Week labda 2k mbona kote sawa.?
No kwenye kutumia nikiweka cha wiki natumia siku moja au mbili...cha jero kikiisha basi unless nina ishu ya lazima ndo ntaunga zaidi ila sio for social media browsing
 
Lkn nahsi haya mabadiliko yatagusa kila mtandao ata huo halotel watageuza tu
halotel marketing strategy yao ni kutopandiisha saaaana bei za huduma zao, maana quality ya huduma zao nayo si nzuri kiviile so hata wakipandisha usitegemee bei kuja kuwa kama voda au tigo. Maana wanajua wakipandisha bei watakimbiwa tu na wateja.
 
Tujuze bando gani unalojiunga kwasasa maana hali imekuwa mbaya? Itapendeza ukitaja na mtandao husika!!

Kupunguza mb na midakika itakuwa all networks, kwaiyo hakuna cha unafuu hapa. Ukienda tigo wameminya zote, (dakika na mb) ukienda halotel kwenye dakika ndiyo sifuri kabisa. Huwa wanaambizana hawa eti co bure bandugu
 
Voda sh. 1000 = 1.2gb kwa siku 7 lakini haikai hata masaa 24 yaani
 
Back
Top Bottom